Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Just because the debt has reduced that means the airline has made profit according to him [emoji23][emoji23][emoji1787]. It's been 46 years yet their airline has never made any profit.
Wacha kujenga hoja ya upotoshaji wewe hajamaanisha hivyo,hoja yake ni kupungua kwa loss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wacha kujenga hoja ya upotoshaji wewe hajamaanisha hivyo,hoja yake ni kupungua kwa loss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilimuliza mambo ya faida, sio loss kupungua. Ama wewe unaezaniambia the year ATCL made a profit since 1977?
 
Alafu Hawa watu are the real definition of corruption. A plane is supposed to cost $37M lakini wanasema ati wamenunua that one cargo plane for $86M😂😂

Nani atapinga CCM apigwe risasi kama Lissu
 
mama samia hafichi ujinga kama Magufala
Seriously hawa wasee ni special (yes, THAT meaning of special). Magu ana-deny COVID hadi ikishammada ndio wakubali. Surely...

So gava yao ikiwasho hakuna corruption wanakubali tu yet ni kitu wanaona wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…