Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona TBL wana-invest kiwanda Moshi!
 
Serikali inaingiza pesa Bil.70 Kwa MbambaBay expansion from next financia year👇

 
Porojo za kitoto za kutaka watu wauze dollar Ili serikali ipate dollar za kuagizia bidhaa 🤣🤣🤣🤣

Huyu Ruto hana akili , alikolalia ndiko Wafanyabiashara wameamkia.

Biti za kindezi kama hizo Mwendazake aliwahi toa eti ata badili pesa baada ya watu kuacha kuweka pesa banks na kuficha qanakojua wao 🤪🤪
 
10. Expanda block farming to several regions by targeting essential food, Horticulture and cash crops plus establishing and improving government and privaye ranches for livestock. Hii itapunguza sana kasi ya umaskini.
 
Nimeona TBL wana-invest kiwanda Moshi!
Bado MGR inatosha, huo ni mzigo wa ndani. Kiukweli MGR zikiungwa zile joints ikawa "continuous welded", ikawa electrified na kununua mabehewa mapya ya kisasa Kama hayo ya SGR economy class na locomotives za kisasa, zinatosha Sana for the next 50yrs.

Ila hizi reli mpya zinazojengwa Sasa huko kusini " Southern corridor" na kwengineko, huko SGR ni muhimu


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Let's concentrate with big problem in Kenya now, stop derail people. Kenya is going to fail apart if you will continue with this behaviour of thinking everything is OK


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kuna nyuzi kama 100 zimefunguliwa na watanzania wenzako about the situation in Kenya, nenda ukachangie huko. Unless unatafta attention from Kenyans hapa i promise you hutapata.
Hapa tuko dar vs Nairobi wewe ndo unaderail mada
Alafu wacha kulazimisha lugha, eti 'stop derail people'.
 
73% ya faida ni kutoka kenya
Hvi nikuulize swali ukitoa KCB na equity kuna bank gani ni shindani kenya?? Yani hakuna tofaut na safaricom kenya hana mshindani wengine telkom na airtel ni washindikizaji tu

Sasa nitofaut na tanzania ushindani wa kibenk ni mkubwa sana imagine NBC anadhamini ligi kuu yatanzania kwa sasa miaka 2 au 3 lakini ni bank ya 4 au 5 kwa ukubwa tanzania 😆😆😆😆



Alaf kitu nashangaa sioni hata serekali yenu ikiwa na shares kwenye bank kubwa kama hzo huku kwetu mpaka absa bank serekali ni shareholder mkubwa
 
Hivi Sasa Kila kitu kimesimama na tunashughughulika na hali ya kisasa na kijamii ya Kenya, hii ni hali ya dharura lazima ipewe 'special attention", Wacha kuona aibu kwa Yale mliyokua mkijisifia nayo, hivi Sasa ukweli unaonekana mnataka kujifanya Kama sio ninyi mliokua mkiyasema, hili ni fundisho kwa wapenda sifa Kama ninyi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…