The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Uyo bwege hajaelewa lengo, mwenzake kaonesha ndege ya saudia yeye anaonesha ndege ya KQ.Mulitangulia wapi ikiwa 2023 bado munamiliki ndege 3 chakavu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya airways ni ndege za watu binafsi Air Tanzania ni ndege za serikali.Kenya airways has more airplanes than Air Tanzania.
Yani hua wanauchizi sijui wa aina gani 🤣Uyo bwege hajaelewa lengo, mwenzake kaonesha ndege ya saudia yeye anaonesha ndege ya KQ.
It also looks better than both your Statehouses. What's your point?Groote Schurr hospital in SA looks better than that ugly state houseView attachment 2566083
View attachment 2566084
Bila kusahau the so called feed the future ilikuwa ianze kufadhiliwa na Marekani nayo Imerudi na pia Kamala Harris anakuja kuirejesha Tanzania kwenye MCCL .kwa style hii kilimo cha Tanzania kinaenda kukipita mpaka kilimo cha South Africa
dollars millions 300 for irrigation is thousands of hectares for irrigation schemes
kwani kuna mtu humu ndani amejitamba kuhusu state house ya Tanzania?It also looks better than both your Statehouses. What's your point?
GDP base yake ikiwa ni paper ikilowa kidogo ina cave in [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi matajiri sisi tuna GDP kubwa mbona hatuyaskii tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana tukanunua kwaajili ya workshop.
Dah wewe utakuwa mtaalamu wa filter uko kwenye fani ya photography nini?Nairobi CBD City Center.