Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya niambie maana kuundwa na kuunganishwa tofaut yake nini?? Au nipe maana ya kuundwa leo unanifundisha kiswahili mimi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Assembling ni kuunganisha.
Kuunda ni built.

Know the difference idiotπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
So kati ya kuunda na kuunganisha nani anakua na skills zaidi ya mwenzake ??πŸ˜†πŸ˜†
Jamaa kalemewaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚. So Dar Coach hawafanyi assembling Tena after I have taught you a few vocabularies?🀣🀣🀣
 
Jamaa kalemewaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚. So Dar Coach hawafanyi assembling Tena after I have taught you a few vocabularies?🀣🀣🀣
Dar coach wanafanya assembling na hii ndio assembling yao chini ya usmamizi wa scania F95πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Jamaa kalemewaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚. So Dar Coach hawafanyi assembling Tena after I have taught you a few vocabularies?🀣🀣🀣
Ww zunguka lakini mwiba uko pale pale lazma ukuchome πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kwaakili yako asemblers na fabricators nani yuko juu if at all you know the meaning of those words.
🀣🀣🀣🀣🀣 hapo ni wivu na roho mbaya ndio kinachomsumbua
 
Ww zunguka lakini mwiba uko pale pale lazma ukuchome πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Sasa umekazana na kunionyesha vitu years ago, saa hii hiyo kampuni ishauzwaπŸ˜‚πŸ˜‚

 
Sasa umekazana na kunionyesha vitu years ago, saa hii hiyo kampuni ishauzwaπŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna tofaut kati ishauzwa na kinauzwa?? Tofautisha maana 🀣🀣🀣 wewe siunanifundisha mm kiswahili so kama mmiliki kaamua kuuza mm nikazuie na watakaonunua wapo na kuendeleza
 
Wamefabricate, usilazimishe the word assembling where it doesn't belong [emoji23][emoji23]
Aliye fabricate ndio anatumia akili na ujuzi mkubwa kuliko assembler maana fabricator anatengeneza na kumpelekea assembler aunganishe.
 
Kuelewana kwa kushindwa na kazi to a point of selling the warehouse?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚

Kaamua kuuza wapo watakaonunua nankuendeleza mm siwez kumzuia eti asiuze 🀣🀣🀣🀣🀣 acha auze tu na watakaonunua wataendeleza
 
Kwaakili yako asemblers na fabricators nani yuko juu if at all you know the meaning of those words.
Assembler Yuko Juu cause everything comes as CKD. Fabricator buys a complete chassis and only make the body
 
Dar coach wanafanya assembling na hii ndio assembling yao chini ya usmamizi wa scania F95πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Dar Coach wanaassemble basi gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Aliye fabricate ndio anatumia akili na ujuzi mkubwa kuliko assembler maana fabricator anatengeneza na kumpelekea assembler aunganishe.
Acha uongo, assembler anapata the CKD parts from the parent company. Kama ni Marcopolo the parts of Marcopolo will come either Brazil or China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…