joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sasa Kama inflation rate in Tanzania is among the lowest in Africa, just above 4%, while in Kenya is 9.2%, who are you to educate us about rising prices in Tanzania?Hata Tanzania vitu zimepanda, difference ni watanzania wamelelewa kutoquestion anything
Economy gani haina chakula?? Economy gani haina ajira? 🤣🤣🤣🤣 badilikeni zama za sifa zishaishaeverybody democratic citizen worldwide complains to get better services from goverment except Danganyikans... and its a right in the constittuion to protest. Kenya still remains the largest economy in EAST Africa
Tofaut ya tanzania na kenya ni njaa 🤣🤣Hata Tanzania vitu zimepanda, difference ni watanzania wamelelewa kutoquestion anything
🤣🤣🤣🤣 tanzania imepigani uhuru wa karibu nchi zote za africa kipindi kile nyinyi muko busy kufanya biashara na kusahau nchi zingine za africa ndio maana ww chunguza kenya hana rafiki wa kudumu nitajie nchi moja tu ambayo ni rafiki wa yenu kindakindakiTanzania even their independence they were given, hawakupigania kama nchi zingine. Nchi ya wanyonge.
Sasa wako hapa wakishangaa na maandamano ya kenya as if hii ndo mara ya kwanza wakenya kuandamana
Taja nchi zote zilizoendelea duniani ambazo Kuna maandamano yadiyokwisha Kila mwaka. Fujo na kupigana ni sifa ya banana republics.Viumbe waoga. Can't question anything
Haijawahi kufanyika maandamano Kenya bila kuharibu Mali za watu na watu kuuliwa hapo Nairobi, Wacha kutaka kudanganya watuProtests mara nyingi hua peaceful polisi wasipotumia nguvu nyingi. Hapa ilikua failure kwa national police
.........and in Tanzania, you have sheep and donkeys who can't stand for themselves.The different between these 3 countries is, while South Africa and Tunisia they are civilized citizens, they do political demonstrations, in Kenya is uncivilized people, demonstrations are not political rather are anchored on Tribalism.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mzee Tanzania vitu vikipanda ni faida kwa Watanzania hao hao, vyakula vyote tunazalisha wenyewe, hiyo pesa inabaki Tanzania uchumi unakua na mkulima au intermediate ambao wote ni Watanzania wananufaika, tofauti na nyie mnaimport everything, pesa yote ya surged commodities inaenda kuliwa nje ya KenyaHata Tanzania vitu zimepanda, difference ni watanzania wamelelewa kutoquestion anything
While in Kenya you have Lions and Zebra who eat each other, Kenya is a jungle, no law and order..........and in Tanzania, you have sheep and donkeys who can't stand for themselves.
tulipigania uhuru wa Uganda singlehandedly tukamuondoa dictator tukamuweka tumtakae, ndio itakua nchi yetu wenyewe? 😂😂😂Tanzania even their independence they were given, hawakupigania kama nchi zingine. Nchi ya wanyonge.
Sasa wako hapa wakishangaa na maandamano ya kenya as if hii ndo mara ya kwanza wakenya kuandamana
Jamaa hawajui maandamnao ni nini kwa maisha. Hawajui kutawaliwa na chama kingine ni nini ni CCM tangu indepedence. Tanzania is a low key dictatorship 🤣 🤣 🤣 🤣Tanzania even their independence they were given, hawakupigania kama nchi zingine. Nchi ya wanyonge.
Sasa wako hapa wakishangaa na maandamano ya kenya as if hii ndo mara ya kwanza wakenya kuandamana
Ngoja utaona kama tutachokaMtachoka tu. Bei ya unga iko pale pale.
While in Kenya you have Lions and Zebra who eat each other, Kenya is a jungle, no law and order.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Of kos so that Kenyans can purchase more with their money. Najua Tanzania nyinyi ni matajiri nyote you dont even need to protest ndo maana mko LDC.
Haya, nipo hapa🤣Ngoja utaona kama tutachoka
ushawahi skia wapi protest za ustaarabu 🤣 🤣 🤣 🤣 ? Danganyika nyinyi ni wazembe kweli hadi protest mnataka ustaarabu. Hata indepedence ya Kenya tulipewa kwa kumwaga damu sio kukaa chini kitako. In life you have to fight for what you want.Kwahyo mki protest ndio muharibu Mali za watu?hamuwezi protest kistaarabu?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Jifunze historia vizuri. Kenya was a British colony while Tanganyika was a protectorate.…Hata indepedence ya Kenya tulipewa kwa kumwaga damu sio kukaa chini kitako. ..