Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti hawana hata flyover ya mabati outside Dar? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Be nice yawa!

But kuna ka ukweli hapa japo inauma. Hata Kisii inajenga flyover yet Tanzania nzima hakuna flyover ukishatoka Dar! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Flyover Ina maana Gani kwenye hivyo vijiji vyenu.?
 
Flyover Ina maana Gani kwenye hivyo vijiji vyenu.?
Utajuaje na unaishi nchi with only one city with such infrastructure?

Mngekuanazo si mngezipost humu kila siku na kutukumbusha vile Tanganyika imeendeleaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utajuaje na unaishi nchi with only one city with such infrastructure?

Mngekuanazo si mngezipost humu kila siku na kutukumbusha vile Tanganyika imeendeleaπŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa vijiji vyenu vyenye havina traffic congestion kuwa na flyover ni matumizi mabaya ya fedha za Umma.. unnecessary infrastructures in the middle of your village centers ni upuuzi tu ..
 
Kwa vijiji vyenu vyenye havina traffic congestion kuwa na flyover ni matumizi mabaya ya fedha za Umma.. unnecessary infrastructures in the middle of your village centers ni upuuzi tu ..
So unataka kutuambia kwamba Mwanza, your second largest city, haijakuwa na sababu ya kuwa na such infrastructure as a flyover?

Do not cover up for your country's poor infrasctural development by looking for flimsy excuses.

Matumizi mbaya ya fedha ni huko kwenu. Unasahau Magufuli alijenga uwanja wa ndege kijijini kwao pasi na umuhimu wowote? Niambie ni ndege ngapi zinatua pale hata kwa mwezi, wacha hata wiki!
 
Our second largest city Mwanza haikua na uhitaji wa hizo flyovers ispokua sasahiv.. miundombinu ya msingi Mwanza yote ipo U/C. Huwezi jenga mji flyover porini, flyover zinajengwa kwa mahitaji in the middle of the traffic congested city, sio kila chaka tu ..

Nyie huwa hamuna akili ya kujua nini mtangulie kufanya na nini kifuate
 
Kisumu is very impressive ....there's a massive project coming up in makasembo.....saw it in the city's official page
 
Eti hawana hata flyover ya mabati outside Dar? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Be nice yawa!

But kuna ka ukweli hapa japo inauma. Hata Kisii inajenga flyover yet Tanzania nzima hakuna flyover ukishatoka Dar! πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ukimuliza mtanzania yeyote outside Dar ati flyover ni nini? Hawawezi kakujibu, hata hiyo flyover kwanza ndio hawajaiskiaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwanza kuna reli ya umeme usisahau hilo, reli ya umeme na flyover ya tofali utachagua kipi, mm nitagua flyover ya tofali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Battle ya aerial view watanzania hawapendi kabisa....they know how slummy all of their towns look like
Aerial view ya ka Nairobi ni takataka, chongchung wanataka aerial view ya Nairobi wape tafadhali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…