Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By the way ilala inapitiwa na BRT+ SGR viaduct . Nicxie ukiona unaumia sana unaweza kuja kuvunja hiyo miundombinu
 
Usife kwa wivu we jamaa, maneno yote ya nini.? Mwenzako alitaka aonyeshwe 2023 ilala .imekuumiza kichwa hivyo.?
Si mwenzangu, ni mimi niliitisha ila kila nikiitisha picha ni hiyo hiyo moja ya kujiliwaza. That says a lot about hiyo ilala yenu. Haina cha kuonyesha kando na hiyo picha moja inayozungushwa hapa na kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…