Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

For a public school or a normal private school sii mbaya ila for an international school hii ni aibu.
Eti aibu, lete shule za Kundustan hapa. Public schools zenu ni nzuri kuliko private schools zenu. Sijui hata mnajitamba nini [emoji1787][emoji1787]
 
St. Francis Girls Secondary School
Mbeya, Tanzania.
Si mlikuwa mnataka kuona shule ya Tz ambayo iko na green environment, hii hapa sasa
 
Safaricom MPESA Academy - A public School. This one must be the best public school in Africa in terms of infrastructure. Hapa hata university za bongo haziguzi in terms of quality

Render


Reality


Wabongo hii sii stadium, hii ni public school


Bongo nzima haina indoor arena, hapa public school iko na indoor arena



FYI sii shule ya matajiri hii, ni shule ya masikini wasiojiweza kifedha.
 
Ati hii ni international school. Yani international school ila public zetu hata haigusi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hebu Google hiyo shule alafu ulizia gharama ya kusoma hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…