Hivi wakunya BRT yenu imeishia wapi [emoji849][emoji849] toka JPM afariki ni kama brt yenu nayo imekufa kibudu ni miaka 3 sasa kimywa wakati wa jpm mlikuwa mnajitahidi kukimbizana na kasi yake [emoji1787]Kumbe hii SGR station ya Dar hua ndogo hivi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Enyewe Google maps inawa expose mbaya sana.
Next ni kupima kale ka airport kenu kadogo tuone vile kanatoshana compared to the mega JKIA.
View attachment 2541434
View attachment 2541436
Hii ni chicago america golf course iko ndani ya CBD π€£π€£π€£π€£ sikujua kama ni washamba kias hichi
View attachment 2541544
Google unaogopa sasa hvi π€£π€£π€£ ingia google wala usiogopeNi wapi imeandikwa hii area ni CBD au ju umeona ghorofa?
This is Chicago CBD. Hio yako sijui umetoa wapi ju Chicago CBD hua na very tall buildings only comes second to NewYork in US.
Kweli mrusi mtu mbaya yani bakhmut ndiyo imekuwa magofu na vumbi namna hiyo
Wapi hio kiwanja ya gofu hapa?
Unaweka hadi duka za kuuza CBD ya bangi unadhani inamaanisha Central Business District. π€£ π€£ π€£ π€£ Central Business District is the core of the city, usually characterized by commercial buildings. Hizi City za wazungu hua very strict na zoning laws, usidhani ni wapumbavu kama wewe.
Kwa kwa kwa ushabadili gear angani tayar mm nilikua nasubiri ubadili gear asante sana π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Unaweka hadi duka za kuuza CBD ya bangi unadhani inamaanisha Central Business District. π€£ π€£ π€£ π€£ Central Business District is the core of the city, usually characterized by commercial buildings. Hizi City za wazungu hua very strict na zoning laws, usidhani ni wapumbavu kama wewe.
Google maana ya Central Business District kwanza, wacha kujiaibisha na screenshot za kijinga.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Google maana ya Central Business District kwanza, wacha kujiaibisha na screenshot za kijinga.
Wapi kiwanja ya gofu hapa? π€£π€£π€£π€£ Wewe hua pumbavu. Pengine hujui meaning ya Central Business District, wacha nikueleze kwa Kiswahili, ni eneo la kufanyia biashara. Golf course sio mahali pakufanyia biashara, golf is a sport or a leisure activity. Yani hadi umechorewa model ya CBD ndio usaidiwe kupunguza ujinga.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 2541588
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Wapi kiwanja ya gofu hapa? π€£π€£π€£π€£ Wewe hua pumbavu. Pengine hujui meaning ya Central Business District, wacha nikueleze kwa Kiswahili, ni eneo la kufanyia biashara. Golf course sio mahali pakufanyia biashara, golf is a sport or a leisure activity. Yani hadi umechorewa model ya CBD ndio usaidiwe kupunguza ujinga.π€£π€£π€£π€£
Kwani hii GDP data zake huwa zinatokea wapi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sisi tuna GDP kubwa, ok iko wapi? iko kwenye karatas
HQ ya Oryx EnergiesHiyo sehemu unayoidharau ina HQ ya Vodacom TZ, HQ ya FINCA, HQ ya Barrick Gold, HQ ya TCB bank, HQ ya Halotel, HQ ya Access Bank, HQ ya TIGO.
Halafu badi unaleta dharau. Na hizo hapo ni baadhi tu!
Wewe huoni godown hapo chini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe hii SGR station ya Dar hua ndogo hivi. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Enyewe Google maps inawa expose mbaya sana.
Next ni kupima kale ka airport kenu kadogo tuone vile kanatoshana compared to the mega JKIA.
View attachment 2541434
View attachment 2541436
Wacha tuone hiyo takataka ya Nairobi ukitoa Westlands, CBD na UpperHill, kama kuna mpinzani Dar is slumππππ hizi sehemu hakuna pakulinganisha na popote nje ya Dar CBD., pole ni uchungu najua zoea, yaani bado ujawacha empty domo domo π π π π π π π ..,Bro narudia tena nairobi ukitoa westland upperhill na CBD hakuna kitu kinabakia na hilo hata nyinyi munalijua π€£π€£π€£π€£ hzo zote zilizobakia ni takataka tu