Huku TZ Taifa gas ni cha mtoto kwa kina oryx, lake gas na wengine.Lake gas is a feeble player in our cooking gas industry. Hata kwa hiyo picha uliyopost there are like two or three Lake gas cylinders in a collection of over 100 cylinders. Hawa wanasurvive tu
O gasHuku TZ Taifa gas ni cha mtoto kwa kina oryx, lake gas na wengine.
Wacha kuropoka! Hao Oryx na Lakegas wana capacity gani? Hamna mwenye 30 mln liters gas storage capacity! As a matter of fact the whole region hakuna! Wacheni kumu-undermine Taifa gas! Ni muziki mwingine tunaojua hii sector tunajua muscles zake! Halafu wana tanker binafsi!Huku TZ Taifa gas ni cha mtoto kwa kina oryx, lake gas na wengine.
liaA smart mind gets the point, a stupid mind creates more arguments.
MY TAKE
Huwezi pata media coverage ya namna hii Ukunyani!
huyu mlevi katokea wapi? hata hapo anapoongea yupo njwiii!Elimu yenyewe sasa 🤣🤣🤣🤣
nilitaka Mkunya usome! kuna hii pia...Why would you want Kenyan media to cover Tanzanian news? Alafu tuliwaambia mnatuwaza mnakana.🤣
Mnaona mlivyo wajinga, huyu mlevi anachochea chuki ya kibiashara kati ya Kenya na Tanzania, ila kwasababu anasema Kenya imeizidi TZ kwa GDP kwenu mnamfurahia.Huyu kasema uhalisia
Already Watanzania wengi wana chuki dhidi ya Kenya wewe ukiwa mmoja wao. Hilo tunajua bali hapa tunaongelea ukweli aliosema ambao wengine wenu hamtaki kuuskia.Mnaona mlivyo wajinga, huyu mlevi anachochea chuki ya kibiashara kati ya Kenya na Tanzania, ila kwasababu anasema Kenya imeizidi TZ kwa GDP kwenu mnamfurahia.
Sasa kunashida gani hicho kivuko kuja kutengenezwa Kenya Kama Kuna kampuni ambalo liko na vigezo na limetoa bei ya chini kuliko mengine, hivi hajui kwamba tulitangaza tender ya wazi kwa Dunia nzima?, Mbona wachina Kila siku wanapewa kazi lakini hapigi kelele, au anataka Tanzania isitoe KAZI kwa makampuni ya Kenya?.
Huyu ni mlevi Sana, alikua waziri wa Magufuli akaingia bungeni akiwa amelewa, akafukuzwa kati na Magufuli, kumbe Magufuli hakukosea, bure kabisa hili jamaa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa unataka kusema Taifa gas kamzidi Oryx gas kwa market share? Saa ingine usidandie mjadala bila kuelewa kilichoandikwa kwanza. Oryx ana command almost 50% ya gas market in Tanzania hivyo Taifa gas ni cha mtoto kwa Oryx gas.Wacha kuropoka! Hao Oryx na Lakegas wana capacity gani? Hamna mwenye 30 mln liters gas storage capacity! As a matter of fact the whole region hakuna! Wacheni kumu-undermine Taifa gas! Ni muziki mwingine tunaojua hii sector tunajua muscles zake! Halafu wana tanker binafsi!