Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo kwa kupost hizi picha ukijipima kichwani unahisi uko na akili timamu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Maneno ya mkosaji hayo. They say that facts scream louder than empty rhetoric talk. It's funny that it's only cooked data when that data puts Kenya above your shithole country. But it's genuine data when the same puts your country ahead of Kenya. Look at your lives bongolalas! When will you people stop living in denial?
 
akikujibu niite nimgonge na facts nyingine! Kunyaland haina matumizi ya gesi 30%! Huu ni uongo wa mchana kweupee!
 
Achana nao, hawana kitu cha kutuambia, sis tunawapenda lazima tuwaambie wanapokosea ili wajirekebishe.. walioko nje ndo tunaona wapi wanapokosea au walipokosea 😀.. sindano ikiingia vizur mahali pake huwa unaona wanavyohamaki na kukasirika.

  • Mtu una GDP kubwa (fake), lkn huwezi kujilisha mwenyewe..
  • Mtu unasema unapokea remittances nyingi lkn huna dollars za kutosha..
  • Mtu unasema una viwanda vingi vinavyoexport bidhaa nje lkn saiz wanategemea Tanzania kupata dollars..
Lazima tuwatibu 💉💉💉 wanapokosea
 
Hii ndio ubaya wa kuchangia mada usichoelewa. Do you even know what me and Geza were talking about? Fuatilia thread bongolala, wacha kupayuka
Ww ni mwehu hoja yako ni kwamba kwann rostam kaekeza pesa nyingi kwenu jibu kwan kwenu kuna ushindani mkubwa kama huku tanzania?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huku kwenye hio sector kila mmoja ni giant ila kwenu taifa gas ndio kaonesha ni mbabae zaidi kuliko yoyote
 
Lake gas unamuachia nani ???🤣🤣🤣
Au ni ya mkenya ???? Au umesahau ndio alioinunua hashi kenya nzima
 
Kampuni hzo unazozitaja hazina ushindani na uwekezaji wa kutosha ndio maana rostam kawaonesha how to invest in that sector mulikua mukicheza siku zote ndio maana bei za gas hazishkiki huko 🤣🤣🤣

Tanzania kuna kampuni nyingi na zote zinaushindani na wote wameekeza kisawasawa 🤣🤣🤣🤣

Na ukumbuke gas pipeline mpokeaji atakua rostam are u happy now 🤣🤣
 
That's why I gave you an example of BRT buses to be manufactured in Kenya, if this data which you gave us is true, then I will agree the second data on cooking gas, if the first data was not true about BRT buses, then even this one is false because both are from the same source[emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Itaingiaje wakati presidaa ruto ndio kakubali kampuni za kitanzania zisifanyiwe urasimu, subiri makampuni yatakavyo kuja kasi. Hizo zenu zijipange sana
 
Itaingiaje wakati presidaa ruto ndio kakubali kampuni za kitanzania zisifanyiwe urasimu, subiri makampuni yatakavyo kuja kasi. Hizo zenu zijipange sana
Kilaza mwenzako alisema kwamba 99% of cooking gas companies in Kenya ni za kitanzania. Msaidie kudhibithisha hayo madai
 
That thing about brt buses is not data bongolala. Unajua maana ya data kweli? Yawezekama naongea na taahira
 
Then stop being heavily reliant on us.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…