Yaani wewe andaa mshiko tu. Watoto jojo wapo kulingana wewe na level yako.mbona naja Tanzania December? nikishindwa na lugha nitakutafta ndugu...lazima nikule mabinti wa Bongo...watamu sana...nimetaka sana pia Ethiopia ila language barrier
despite the fact that food products in supermarket are well packed,i prefer buying my food in local markets(none supermarket).la hasha, skuizi kuna mboga, nyanya, vitungu, keki, nyama ya kuku, beef, matunda na kadhalika kwenye supermarket na sio lazima unde supermarket kununua junk food pekee yake...Pili bei za suprmarket kama Naivas ziko friendly sana kwa mwananchi wa kawaida ama mwananchi wa low-income hata kuliko maduka madogo madogo...
Halafu kuna pimbi wa 254 alikuja hapa kulalama eti tulikosa majina hadi barabara ikaitwa bibi titi, sasa na nyie mtueleze na hiyo kakuma yenu, punguan wahedhere is the south Sudanese immigrant who shot students in Lokichogio, minutes before he was stoned and burnt to death...CRIME DOESN'T PAY
View attachment 610459View attachment 610459
Residents of Kakuma refugee camp lynch a suspect accused of murdering five students and a night guard
hii ni dar?despite the fact that food products in supermarket are well packed,i prefer buying my food in local markets(none supermarket).
nakumat tena huko Uganda...au naheri warudi nyumbani tu. wabongolala wamezoea kununua bidhaa vichochoroni na chini ya miti.
Ninachokionaa leo ni muendelezo tu, niko Uganda nako huku Nakumatt wamefungiwa na URA branch tatu kwa kutolipa kodi na kutowalipa waliokuwa wakipeleka bidhaa.
Baada ya kutonywa hali halisi wahusika waliwahi mahakamani kuzuia mali za Nakumatt kutoka mpaka walipe fedha zao bil 17.
Hata hivyo pesa ni pesa, walinzi walirubuniwa wakiwemo polisi waliokuwa na silaha na kuruhsu magari nane kutoka yakiwa na bidhaa kurudi Kenya
Hatimae malori hayo yalikmatwa mapema usiku na kurudishwa yard. Baadae mahakama imeamuru malori hayo kuuzwa na mnada utafanyika Jumamosi ili kulipia madeni ya wahusika na kodi ya Serikali.
nyote gora moja. πππnakumat tena huko Uganda...au na
waganda hawajazoea kununua bidhaa supermarket?.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
pumbavuuuuu...huna akili...watu wanajadili mambo muhimu kwa ustaarabu nawewe unaongelea mambo ya majina...Halafu kuna pimbi wa 254 alikuja hapa kulalama eti tulikosa majina hadi barabara ikaitwa bibi titi, sasa na nyie mtueleze na hiyo kakuma yenu, punguan wahed
U nailed it bro, kwa upande wa food products tu tumebarikiwa, thanks to Almighty.despite the fact that food products in supermarket are well packed,i prefer buying my food in local markets(none supermarket).
Hiyo imekuingiaaaaa, yan ndani ndani kabisa, pole bro, sio kwa hilo povu, nakutumia furushi la boxer ufuliepumbavuuuuu...huna akili
some Tanzanians....anyway, wacha tufanye discussion na watz wenye akili...Hiyo imekuingiaaaaa, yan ndani ndani kabisa, pole bro, sio kwa hilo povu, nakutumia furushi la boxer ufulie
ndio umeamua kulia hadharaniπππππππPia nairobi kama sheria na planning haingekuwa ,zingejazana hivyo hivyo...( cheap similar buildings)
kilio hakitakuacha salamaππππππnyote gora moja. πππ
ldc ni ldc tu
mbongolala heri ale miogo mibichi kama nyani atulie.U nailed it bro, kwa upande wa food products tu tumebarikiwa, thanks to Almighty.
Sijawah nunua food broducts supermarket na sitegemei, kwanza sio fresh vina kaa sana kwenye shelves, pili vingine ni imported so unakuta ladha yake sio nzur kivile. Supermarkets nanunua vitu vingne tu.
watu wa ldc ni wale wale πππkilio hakitakuacha salamaππππππ