Tanzania est Gdp 2023 $84B Vs Kenya $117BTulisema na nani?
Kenya's GDP = tz GDP +Uganda gdp
Most important wanaokataa huu uongo wengi ni hao hao Wakenya, tungesema sisi wangesema ni wivu. Hawa jamaa wamevamia vipage kadhaa huko social media na vi ‘facts’ vya uongo kuficha aibu zao. Ila ndio hivyo kila kitu kiko wazi kama vazi la kahaba.Uongo wa wakenya umeanza kushitukiwa na Dunia, someni comments
https://www.facebook.com/
Alafu wanategemea chakula toka kwa wazembe na wavivu😅😅Wanaitangazia dunia kwamba sisi ni wazembe wakati huko kwao wanakufa njaa
Umekuja mzee wa programming. Hahahaha. Nilikupatia project kwenye Git ukaikimbia. Vipi unaweza sasa kuifanya?
Barabara ina muda imetumika lakini rangi ipo vile vile, Kule TOPESTAN 😂 😂 😂 😂 Barabara za njano kama wamemwagia binzari.
Ruto na Gachagua ni shida.. Sijui tutafute sniper waekwe chini ama tutafute mwenye aliwasaidia pande ya magufuli... Kenya kwanza government is the dumbest government we have had in Kenya since independence. Chosen solely because of emotional voters not track record.Tanzania est Gdp 2023 $84B Vs Kenya $117B
Mwaka huu uchumi wenu unakua kwa speed ndogo sana shida ni Ruto ama?
IMF
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
GDP ambayo haiwezi wasaidia kuondokana na njaa na kupunguza umaskini 🤣🤣Imagine with all our lack of food bado tunawatoa Tanzania gdp Mara mbili [emoji23][emoji23] nyie maskini bana
Better life gani alionayo mkenya 🤣🤣🤣 richer of what poverty ama???A normal Kenyan has better life than Tanzanian. Kenya is also richer than Tanzania in all metrics. Njaa hadi Tanzania iko tu ata ccm wasipoweka kwa media
😂 Vibakuli
Pitia hapa wacha mdomo, Tz naijua vizuri your cars are older models than kenya
Barabara ina muda imetumika lakini rangi ipo vile vile, Kule TOPESTAN [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Barabara za njano kama wamemwagia binzari.
kuna hela?Umekuja mzee wa programming. Hahahaha. Nilikupatia project kwenye Git ukaikimbia. Vipi unaweza sasa kuifanya?
Nakufanyia interview ukiweza pesa zipo nyingi tu ninakuajiri.kuna hela?