Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hehehe ila hayo unasema wewe na wazungu tu lakini wanaoijua hawasemi hvo 🤣🤣🤣🤣🤣 jamaa wanavikwazo vya dunia nzima lakini wanadunda na wana kila kitu

Kwan somalia na burundi wana vikwazo???
 
Karibu sana Nicxie 😆😆😆
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] leo wanamtukana bwana wao sasa hvi wana bwana mwengine anaitwa mchina
These people issue alerts after receiving intelligence reports but their alerts should be issued in consultation with the host country and should include sharing of intelligence.
 
Hehehe ila hayo unasema wewe na wazungu tu lakini wanaoijua hawasemi hvo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa wanavikwazo vya dunia nzima lakini wanadunda na wana kila kitu

Kwan somalia na burundi wana vikwazo???
Fuatilia mbali na maonyesho ya silaha wana nn cha maana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Hili ndio tatizo letu tunapenda kuaminishwa kwa propaganda za wazungu [emoji38][emoji38][emoji38] pamoja na vikwanzo vya ulimwengu mzima lakini jamaa wanadunda tu
Nazungumzia Uchumi wa wananchi,sio maghorofa na barabara za mji mkuu kijana,
Chakula kinapatikana kwa shida choo cha binadamu kinatumika kama mbolea, mambo kwa ground ni magumu sana ,hayo maghorofa hayawezi solve matatizo walionayo, wanaokula mema ya nchi ni vibaraka wa Raisi na watu wa systems, wakorea wengi wanatamani wakaishi Korea kusini ama sehemu zingine

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Sasa nioneshe ww ushahidi huo uchumi wa wananchi au ni mwaka gani ulishawah sikia north korea watu wanakufa njaa?? Au ushawah sikia nn kuhusu north korea na umaskini naomba unielesze ww kwa ushahidi na mm ntakujibu kwa ushahidi 🤣🤣🤣🤣

Narudia kukwambia north korea ina vikwazo vya ulimwengu mzima lakini wana kila kitu unachokijua ww kwanzia technology mpaka chakula

Tatizo lako unapenda kusikiliza propaganda za wazungu ambazo ukiwa adui wa wazungu basi wanakupaka mavi 🤣🤣🤣
 
Ni nani alikudanganya kua watu wa north korea wanatamani kuishi south korea au ww ndio ulienda kuwahoji??😆😆😆😆 au bbc ilitangaza
 
Na labda nikukumbushe kitu north korea wamejikita sana kwenye millitary technology kwasababu ya vitisho vya america haina maana kwamba hawana technology zingine na wale jamaa wanajitegemea kwa kila kitu mpaka kiwembe cha kunyolea 🤣🤣🤣
 
Ni nani alikudanganya kua watu wa north korea wanatamani kuishi south korea au ww ndio ulienda kuwahoji??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] au bbc ilitangaza
Reliable sources kama world bank group hazina takwimu nyingi za N.Korea
Taarifa zake unazipata kwa tabu kwahyo itakua ni baseless arguments bila data

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
This is one of the most informative reads I have gone through about Tanzania's slums. It is real and detailed.
 

Mdogo wangu uwezo wako kwenye masuala ya international ni mdogo sana. Hebu nakusihi ukazanie taaluma yako ya uchambaji kama Juma Lokole itakutoa. Haya mambo yanazidi kikomo cha akili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…