Acheni excuse za kipumbavu.Hata siku suruali ikipasuka na kukuacha makalio nje,ukiambiwa na mkenya utabishana haupo uchi, kwa sababu jamaa ni mkenya. Akili zilizoliwa na funza.Nyie ndio mizigo ktk hii nchi.Mnabebwa na watu wachache sana nyie akili duni.Ndio maana mnapenda ushenzi unatwa ujamaa.Kwa vile wengine ndio wanapambana kujenga nchi,kisha nyie mnagombania serikali ili mkale.Hahaaa hawa jamaa nawasiwasi ni wakenya sio bure,maanke wanaibukiaga patamu hafu wanatema pumba na kupotea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
nimekupuuza....[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]Acehni wehu nyie maccm
Hopeless.Majibu ya kipuuzi yanaonyesha una utaahira.Taahira huwa anamajibu ya dharau kwa vitu yupo very wrong. Kwa vile thread imeweka comparisons za kipuuzi ndio na nyie mjaze upuuzi? Naturala resources unaweza ringia km unajua unafanya nini,ila km upo km wanyama.Utaringia nini sasa?Km uda wote wehu mpo busy kutetea ujinga.Nitashangaa nini mkiwa makuwadi wa wageni kuchukua mali?SI nyie mnasifu maccm wenzenu wakilia kuwa wakenye wanachukua madini yenu na kuuza km yao, wanauza mlima km wao, wananunua mazao hadi kijiji cha mwisho kwa bei ya bia, wakati wenzenu wakijaribu kufanya biashara mnawazuia?Mna laana kenge nyie.Ndio maana kila mahali duniani li ccm likienda lazima liseme limebaguliwa,sijui chuki.Km hadi dunia inawachukia mnaona fahari gani.nimekupuuza....[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
.Pengine ujinga wa ccm unakusumbua sana.Nipo long time hapa, na nimewakata kimblele wakenya. ILa kwa vile maccm akili zao na uwezo wao ni kurukia chadema kwa vile wanajua hawatadhurika kwa vile wanalindwa na kila kitu ktk dola. Ila nje ya hapo , maccm yote ni hovyo,hata maprof wao ukiwasikia ktk majukwaa makubwa mnata huruma. Sasa kwa akili yake wewe gamba, hapa vitu vya asili vinakusaidia nini?Hata wanyama si wanaweza ishi nchi nzuri kuliko binadamu.
Ongezeni vitu vinavyoonyesha maedeleo ya binadamu ,vitu vilivyotengenezwa na binadamu kwa elimu, juhudi , uvumilivuna akili na utamaduni mzuri.
Wewe boya acha ubishi, upuuzi wako wa ccm na sijui chadema peleka huko,Pengine ujinga wa ccm unakusumbua sana.Nipo long time hapa, na nimewakata kimblele wakenya. ILa kwa vile maccm akili zao na uwezo wao ni kurukia chadema kwa vile wanajua hawatadhurika kwa vile wanalindwa na kila kitu ktk dola. Ila nje ya hapo , maccm yote ni hovyo,hata maprof wao ukiwasikia ktk majukwaa makubwa mnata huruma. Sasa kwa akili yake wewe gamba, hapa vitu vya asili vinakusaidia nini?Hata wanyama si wanaweza ishi nchi nzuri kuliko binadamu.
Ongezeni vitu vinavyoonyesha maedeleo ya binadamu ,vitu vilivyotengenezwa na binadamu kwa elimu, juhudi , uvumilivuna akili na utamaduni mzuri.
That's the sad reality, citizen tv plays only Nigerian "movies" which is basically bullsh*t. K24 plays kenyan movies a lot, i admire them because they have been trying to promote local content, but they also play a couple of Nigerian bullsh*t.kwanini tv station za kenya zinaonyesha zaidi movie za kinijeria na sio movie za kenya?.
huwa naliona hilo kupitia citizen tv na k24.sijawahi ona zikionyesha movie za kenya...kila siku wanaonyesha za wanaijeria.
NB:
mimi sio shabiki wa bongo movies ila hizi ni trailer za baadhi ya movie za kibongo nilizowahi kuzitazama na zikanivutia.
that's the result of not practicing politicsThese are some things that make you wonder if some humans are medically upright. This mediocrity has reached levels that should be impossible. I f*kin hate the culprits behind these.
.Acehni wehu nyie maccm.Na jinsi mnapeana support ktk ujinga mnatia aibu.Umenirukia sijui ni chadema?Chadema sio mtazania?
Mlivyo wajinga mmeweka Lushoto na Matema.Nazo ni Dar? Au mtasema ni capital city kumaanisha ni nchi, sasa hujanipa hoja hapa. Hayo mazingira ya asili utajisifu nayo nini?Hata wanyama porini wanaweza jisifu nayo.Acheni undezi,mnatuaabisha wapuuzi nyie halafu mnashangilina km majinga.Onyesha kitu kinahcoonyesha binadamu waliishi tanzania na sio wanyama na mimea.Kuna nchi za ulaya wanaringia mafanikio bila kuwa na hata na robo ya rasilimali za tz.Ndio maana leo wanakuja kuona kwa pesa. Km hamjui nini mnashindana nacho na wakenya ni vipi sasa ,mtajua km mmeshinda?Wapuuzi sana nyie ndio maana, akili zenu ni kupiga wachaga vita, sasa wakenya mtawapiga vipi vita wakati polisi wenu hawafiki kule?wakati waandishi wenu uchwara hawafiki kule?
They should be sued, fined... So that they feel the pinch coz they know well that demonstrations may cause such plus closure of businesses in the CBD but they don't give it amy consideration.that's the result of not practicing politics
wisely.
raila and his supporters are to be blamed for this type of stupidity.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Ndio maana....
nimekupuuza....[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
chamoto,.
Umefura kama mkizi? Vipi kuna jamaa yako katumbuliwa mahali nini?
Sikiliza ndugu, hapa tunaelimisha wakenya ambao baadhi yao wanadharau za kishamba. Wao mara nyingi hupendelea kuhamisha magoli na kukimbilia kuweka picha za kericho sijui Mombasa, wakati hii mada inahusu Nai na Dar. Sasa na sisi tunajibu kwa kuwaonesha kuwa hata sisi tunayo hayo mashamba ya chai, tatizo liko wapi?
Wewe unaona sawa hawa jamaa wakipiga domo kuchafua taswira ya nchi yetu? Wewe unayejidai kutetea wachagga unaona sawa hawa jamaa wakisema mlima kilimanjaro upo kenya? Huoni kuwa wao kujitangaza kuwa mlima uko Kenya na watalii wengi kushukia JKIA kwa sababu ya uongo wao, mapato ya KIA hupungua kwa kiasi kikubwa? Matokeo yake watu wote wanaotegemea sekta ya utalii huathirika, na hata kama watalii wakigundua kuwa mlima uko Tanzania, teyari wanakuwa wameshatumia kiasi kikubwa cha fedha za kigeni Kenya.
Wewe hujiulizi kwanini wakenya wengi wanakesha hapa kubandika kila siku, unafikiri ni watu amabo hawana kitu cha maana cha kufanya? Kwa taarifa yako tuu wakenya wanatumia sana 'publicity' kukuza uchumi wao na kitu kimoja wanacho tumia ni kutuchafua watanzania. Ukienda Naira wapo, Skyscrapercity wapo na hii wameifanya kwa miaka mingi.
Ukienda wikipedia wamekuwa wakiweka picha mbaya za mji wetu wa Dar, wakijua fika kuwa mtu yeyote ambaye haijui Dar ataenda huko kupata taarifa. Watu tumejaribu mara kadhaa kuweka picha nzuri lakini jamaa wanazitoa na kuweka zilezile za 2002, hiyo ndo akili ya wakenya.
Ndiyo maana watu tumechangua kiwanja hiki hapa kuendeleza mapambano kwasababu kuu mbili;
kwanza, hawawezi badilisha kilichobandikwa na mtu mwingine kama wafanyavyo wikipedia, pili (I know this for a fact) Google bots are camping at JF servers, waiting for new pages to index, every second.
Najua ndugu, unachukulia poa mada kama hizi na wachangiaji wake lakini usishangae kukuta wakenya tunaolumbana nao hapa ni kikosi maalumu cha serikali. kwahiyo wewe endelea kupigia tarumbeta Chadema, na sisi tutaipigia Tanzania.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe boya acha ubishi, upuuzi wako wa ccm na sijui chadema peleka huko,
Sio kila mtu ana interest na vyama.
Bila shaka ulikua mpiga dili wewe😀😀😀😀Pengine ujinga wa ccm unakusumbua sana.Nipo long time hapa, na nimewakata kimblele wakenya. ILa kwa vile maccm akili zao na uwezo wao ni kurukia chadema kwa vile wanajua hawatadhurika kwa vile wanalindwa na kila kitu ktk dola. Ila nje ya hapo , maccm yote ni hovyo,hata maprof wao ukiwasikia ktk majukwaa makubwa mnata huruma. Sasa kwa akili yake wewe gamba, hapa vitu vya asili vinakusaidia nini?Hata wanyama si wanaweza ishi nchi nzuri kuliko binadamu.
Ongezeni vitu vinavyoonyesha maedeleo ya binadamu ,vitu vilivyotengenezwa na binadamu kwa elimu, juhudi , uvumilivuna akili na utamaduni mzuri.
Huyo jamaa anasema ukweli meza hatakama ni chungu[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Mi ni NASAthat's the result of not practicing politics
wisely.
raila and his supporters are to be blamed for this type of stupidity.
I support NASA but these demonstrations have to be called off. Normally ni wezi na wahuni ndio hujaza maandamano za kisiasa....that's the result of not practicing politics
wisely.
raila and his supporters are to be blamed for this type of stupidity.