Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Kuna mtu anataarifa za songea airport atupe maake nimeona kwenye tarifa ya habari imekamilika 97% wanasubiria kufanya majaribio ya ndege kutua usiku mara paa tanesco wakafanya yao
Mfano kama ilikuwa ni Taarifa ya Habari TBC or any channel, ingia youtube angalia uploads zao za leo.. huwa wanaweka huko
 
Chunya to Mbeya 70Km entirely paved...
Hii ndio miradi mi binafsi inanibamba,we need to pave more roads in upcountry to boost economy and improve people lives, Easy kwenda mjini,easy kusafirisha mazao yako na unatunza wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…