Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tangu 2014 mnatuonesha picha hii. Hakuna picha zingine? Au wewe ni mgeni humu?
 
Wewe nyoko hizo access roads residential areas!
Sio kila barabara kwa residential area ni access road. Wacha nikupe mfano.
Huu ni mtaa wa Kifahari wa Rosslyn, Nairobi. Hapo kuna Limuru road na Rosslyn Lone Tree Estate. Limuru road ni arterial road maanake inaconnect CBD to areas such as Rossly, Gigiri, Runda etc via Thika Road. Rossly Lone Tree Estate Road ni Access road. Inaprovide tu access to homes in Rosslyn Estate. Umeelewa? Unajiita engineer kumbe uko zero.

 
Leta issue za Nairobi. Mbona sababu kibao. Tukianza kuonesha uchafu wa Nairobi si utakimbia humu. Today Iam trying to be positive to you guys. Tuoneshe issue za Nairobi.
Hiyo ni kawaida yenu. Leteni tu tushazoea ila mimi nawapa za mitaa yenu ya kifahari na hamzipendi.
 
Nikisema access roads namaanisha hivi - yani barabara inayokupeleka kwako langoni. Hapo Dar vitu kama hizi hazipo - labda uende kwa hivyo vigated communioties vyao vyenye nyumba 70.

 
Wabongolala picha ya kwanza ni arterial road, ya pili ni trunk road, ya tatu ni access road. Pateni tofauti.




 
We are talking about access roads kijana acha kurukia mada hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…