chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Haya mabati yakishika moto humo ndani ni kama Oven. Ndio maana Wakenya wengi weusi kwa sababu ya kubanikwa kama mshikaki tangia wakiwa wadogo.Usifosi tufanane mzee baba [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2469874View attachment 2469875View attachment 2469876View attachment 2469877View attachment 2469878View attachment 2469879
Sifa ya nini nitafute wakati sheria yetu inasema ardhi ni mali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania Raisi akiwa trustee.Mbona sioni tofauti na nchi zingine? Ama unatafuta tu sifa?
Most Kenyans don't own land. The majority of land is under politicians and foreigners such as Delamere na kina Kenyatta together they own over 50% ya arable land in Kenya.Land ownership and land leasing ni vitu viwili tofauti. Huwezisema kwamba anayemiliki ardhi na yule anayelease kutoka kwa serikali wako level moja. Whether you lease it for 99 years, the thing is that at some point the government will come for its land and this will affect your generation in one way or the other.
Huku kwetu, we own land permanently na hakuna siku kizazi chako cha baadae watakuwa affected na government in any way. Kuna tofauti kubwa sana. Cha kushangaza ni kwamba kila siku mnasema hapa eti wakenya hawamiliki ardhi while in real sense its Tanzanians who don't own land.
Dah huku utakuwa unatokea Songea nini?Mashinani View attachment 2470069
Hii misura ya fossil machines hatari. [emoji16]
Kuna picha moja ya cartoon Tom anafanana na hii mibichwa nkiipata nitaiweka hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ramani hizo sipafahamuDah huku utakuwa unatokea Songea nini?
Kuna picha moja ya cartoon Tom anafanana na hii mibichwa nkiipata nitaiweka hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mibichwa ya kwendaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii misura ya fossil machines hatari. [emoji16]
Tumepata kichekesho cha kufungia siku.
Hii hapa [emoji116]Kuna picha moja ya cartoon Tom anafanana na hii mibichwa nkiipata nitaiweka hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyinyi picha za Nairobi mnazopost humu huwa mnaprove ni za mwaka gani?Pole sana, i see the pain 😫 in this comment
View attachment 2470056
Hii picha imepostiwa na hii article tar 7 Jan, 2016... almost 7 years ago
View attachment 2470057
Link hii hapa, scroll down hadi chini uione hio picha
Gentrification in the slum - Stagiaires in Ausland-Redaktionen
Being confronted with the harsh reality of a Tanzanian slum. For a Swiss magazine I am supposed to write a portrait about a Tanzanian grandmother or grandfather. Asking my work colleagues about their grandparents has proven to be unsuccessful as they all seem to live far off. So I contact...stages.mazblog.ch
swadakta..!🤣🤣🤣 Haupo sawa kichwani wewe
Zimechoka kabla ya safariMibichwa ya kwendaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2470120View attachment 2470121
Hakuna kitu mbaya kama kulishwa porojo na propaganda na believing the same. Ni wapi ulisoma kwamba most Kenyans don't own land? By "most Kenyans" you mean more than 50%. Hii ardhi yote ya Kenya if it doesn't have ownership then who owns it?Most Kenyans don't own land. The majority of land is under politicians and foreigners such as Delamere na kina Kenyatta together they own over 50% ya arable land in Kenya.
Majority of Tanzanians partly lease the land from the government others through undocumented traditional ownership but all in all our lease holds are as good as land ownership.
Fossils run the worldHii misura ya fossil machines hatari. [emoji16]