Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heheheeeee atokee mkundustan wa ku dispute this but na yeye aweke mambo yake japo kwa ufupi, I dare if there's any kundustanian in this thread has even a motorcycle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Story nyingine ni hii..

Angalia education, knowledge na experience

hii kampun imetangaza nafas ya PM inspector anaejua kutumia vifaa ambavyo mim ninavyo lkn hakuna walieweza kumpata, wametangaza hio nafas mara mbili nyakat tofauti lkn hawajampata wenye vigezo walivyoweka, hivyo vigezo mim ninavyo.. nikawatafuta, nikawaambia mim niko bongo nimeajiriwa serikaln lkn nina kampun inahusika na hizo kazi hivyo wanaweza kuwa client wangu, wakasema niwaonyeshe kwa picha vifaa nilivyonavyo na kuwatumia certificates za taaluma wanazotaka, baada ya kuwatumia wakakubali niwe nawafanyia maintenance, service na analysis consultations.. nimesain nao deal la mwaka mmoja 2023 la mpunga mrefu sana (kwenda kiwandan mara 3 kwa mwaka, nikienda nakaa kwa wiki moja nzima, kuwasili jtatu na kuondoka jpil) 😀

Uzuri ni kuwa watu/wazungu wapo wengi tu kutoka nje wanafanya hizi kazi ila mipunga yao wanayodai ni mirefu sana mara dufu..watataka uwalipie hotels, misosi, gari kipindi chote wapo nchini kwako kwa gharama za juu sana.. so mim kuwa bongo nachukua hizo requirements kwa kiwango cha chin kidogo yan suala lote la service, accomodation,transport etc.. pia wengi wanakuwa hawaniamin lkn nikiwaonyesha vifaa na certificates wanaanza kuniamin😀
 
Baba wakundustan watakufata PM kwa I'd nyingine baba, c unajua jamaa wana tamaa sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila wakundustan walivyo wajinga na shobo ujue kabisa kuanzia leo watakuogopa sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawatokei tena.
 
Sasa hivi wanauchungulia uzi huu kwa mbali.
 
Nimesema nimeshtuka kuskia 68 units sasa hapo muna assemble kitu gani 🤣🤣🤣🤣 nikakutolea mfano wa GF
We are assembling Mercedes, one of the respected vehicles in the world. Kama unaumwa sana jinyonge.

About quantity, nimekuambia GM wana assemble 10 units per day. Hizo ni magari 300 kwa mwezi. Wewe mnatengeza 50 units kwa mwezi kisha unajiona babe! 😂
 
68 units sasa mume assemble kitu gani au kituko 🤣🤣🤣🤣 inamaana magari yote actros mume assemble 68 units ila wakenya munamatatizo kweli ndio yale yale ya mobius toka mutengeze hata 10 units hazijawah uzika alaf muko kupiga kelele hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…