Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi ni Mtqnzania. Tuache kulinganisha Kenya na vitu vya kijinga kwanza angalia budget yao 90% inatoka fedha za ndani wakati sisi Tz more than 50% inatoka kwa donors
Kifupi hao jamaa wapo juu kutuzidi tukubali tu.
Kabila lako la utqnzania, linatoka bara gani? Kwa africa, ulaya, amerika nk. Halipo, labda unatoka antaktika
 
Thank you so much my dearest friend. Huwa nipo nipo sana humu ila kimya kimya mara zote.

Wakenya wengi ni washenzi na wanjaa njaa. taratibu wataisoma namba. Mimi Sipo Tanzania so ni ngumu kupata picha za Dar but nina picha za Warembo wakareee!
 
karibu sana mkuu....hata kama haupo tanzania,tayari wewe ni mtz,kwa maana hiyo comment zako na fact zitakuwa na umuhimu sana hapa.
 
Mimi ni Mtqnzania. Tuache kulinganisha Kenya na vitu vya kijinga kwanza angalia budget yao 90% inatoka fedha za ndani wakati sisi Tz more than 50% inatoka kwa donors
Kifupi hao jamaa wapo juu kutuzidi tukubali tu.
90% budget yao hehehe๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ama kweli dili tanzania zimebanwa
Vyuma vimekaza pumzika bro
 
Reactions: nao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ