Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ndiyo ukweli


The land issue in Kenya has affected Central Coast Rift valley provinces.........but Eastern Nyanza Western haikupatwa na hiyo shida.
north eastern imekauka so Kenyatta never bothered with it
 
The land issue in Kenya has affected Central Coast Rift valley provinces.........but Eastern Nyanza Western haikupatwa na hiyo shida.
north eastern imekauka so Kenyatta never bothered with it
i'm impressed to hear you admitting the existence of land crisis.siku za nyuma mlikuwa hakumkubali.

mlikuwa mnatulazimisha tuione kenya kama paradiso ya adam na hawa wa kwenye biblia.
 
am i the only one who's left in stiches whenever i see a 'Nairobi Business Community' presser???
 
the hustle among kenya women is real...."wasee" hawataki kuoa juu hawana job....watatunzaje familia?....ndoa inataka "msee" aliye na good income jo...sio yule "msee" anapiga ma-round kwa street za CBD from 9am-6pm na envelope yake kwa mkono.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa wenzenu kutoka tz wamefurika towns zote Kenya wakiomba omba na hata hauna aibu.
 
hahaha. ...lift manenos. ...kuna chakula kwa sherehe hiyo ya uzinduzi nije. .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…