Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Tanzania inakwenda kuwa among of the top giant wa public transport and logistics in Africa. 1800km of electrified SGR sio mchezo, hapo hujaweka over 100km za BRT Dar only, hatujazungumza kuhusu meli zinazojengwa kwenye maziwa makuu na bahari, alafu nimesahau……..kuna pia viwanja vya ndege na bus stages sijaona ukanda huu. Yaani utakuwa unachagua tu……niruke juu, nidandie gogo, nizame majini au ni-hit the road? Tukimaliza haya tunaanza kurestructure miji yetu iwe ya kisasa zaidi. Maniner…….the future is bright, I need sunglasses.TABORA KIGOMA SGR- CONTRACTOR AMEPATIKANA
Tufike mara ngap?Fikieni hata $70B kwanza ndio uanze kufikiria about $200B.
Tufike mara ngap?Fikieni hata $70B kwanza ndio uanze kufikiria about $200B.
Wow from kenya 🤣🤣🤣🤣Endeleeni kupeleka pesa Kenya na China. We enjoy the money as we sleep soundly like children .View attachment 2452504
Mkileta ujinga hatutanunua. Remember we have other options as well na pia we continue to produce ours.Na mlivyokuwa mnasema hamtanunua umeme wa Tz je.
Vipi hii imekupendeza mzee wa GDP 🤣🤣Endeleeni kupeleka pesa Kenya na China. We enjoy the money as we sleep soundly like children .View attachment 2452504
Jeuri hio hamuna na hamutakua nayo 🤣🤣Mkileta ujinga hatutanunua. Remember we have other options as well na pia we continue to produce ours.
Made in Kenya by Kenyans for TanzaniansNimekuuliza hii imetoka kenya 🤣🤣🤣🤣
Wow from kenya shangilia 🤣🤣🤣🤣
Sasa hatuna na already we are doing exactly that? Uganda walianza ujinga tukaacha kununua umeme wao hadi ikabidi wabembelezane. Alafu don't forget that we have more MW kuwaliko so that Dam won't be of much help to us.Jeuri hio hamuna na hamutakua nayo 🤣🤣
Wapi zenye zimenunuliwa from Tanzania? Unashangilia kupeleka pesa China na Kenya. Hata huna aibu😂😂😂Wow from kenya shangilia 🤣🤣🤣🤣View attachment 2452571
Bado mko $67B.Tufike mara ngap?
Pole kwa kuwa hunijui vizuri ila ikiwezekana wasiliana na max mello(JF founder) atakusaidiawewe ni mgeni sana humu ndo maana. sina lolote la kukuambia.. ila karibu sana mgeni wetu🤝🏽
Tuko mbali sn mkuu, ni vile Watz wengi hawana tabia ya kujisifu sifu kama waafrika wengine.Hatufanani tena 😎
Kwn unadhani mnanunua kwa kupenda? Ni lazima mnunue mtake msitake na mkileta upumbavu pia hatuwauzii, tuna soko kubwa kule SADEC (ukanda wetu) nyie maskini wa EA tutakuwa tunawauzia kwa masharti ya kuchukua baadhi ya mali zenu ili tuwatawale vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkileta ujinga hatutanunua. Remember we have other options as well na pia we continue to produce ours.
Tunaelekea universal coverage na huo umeme wenu sio lazima kwetu. Nyinyi mpambane na Uganda at least mfike hata 41% connectivity.Kwn unadhani mnanunua kwa kupenda? Ni lazima mnunue mtake msitake na mkileta upumbavu pia hatuwauzii, tuna soko kubwa kule SADEC (ukanda wetu) nyie maskini wa EA tutakuwa tunawauzia kwa masharti ya kuchukua baadhi ya mali zenu ili tuwatawale vzr [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]