babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,425
- 36,036
Kuna kitu inaitwa e-citizen we primary school dropout. Wachana na government bills lipa na mpesa iko hadi kwa vibanda kama zote. Endeni msikie vibaya kwa choo ju nobody uses bongolala as an example for a cashless economy.
Sell airtime and earn commissions ndio imeingia kundustan saivi? πππππππDid that done that kitambo sana, sahii tuko hapa. Hii mutapata 2025 kuendelea after ishakua successful Kenya.
Sell airtime and earn commissions ndio imeingia kundustan saivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha ushamba that is just a snippet.Sell airtime and earn commissions ndio imeingia kundustan saivi? πππππππ
Hii ipo toka 2000π€£π€£π€£π€£Tigo rusha! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kibera sio biggest slum in Africa bali ni the biggest in the world inafuatia Mathare alafu pipeline, zote hizo ni biggest in the world zinafuatana.
Sasa hapo kuna nini hao juu deleva wa bodaboda wanatangaza matangazo ya Tigo.Hakuna cha snippet wala pallets hapo, mpo nyuma kama matako π€£π€£π€£
2000s
View attachment 2449868View attachment 2449869View attachment 2449870View attachment 2449870
Hii ndio unataka kucompare na Pochi la biashara. π€£ π€£ π€£ Pochi la Biashara is for small scale merchants, usiwe mjinga.Hakuna cha snippet wala pallets hapo, mpo nyuma kama matako π€£π€£π€£
2000s
View attachment 2449868View attachment 2449869View attachment 2449870View attachment 2449870
Jamaa ni washamba kiboko, unajua hii Tz yetu iko mbali mno kwenye teknolojia, nchi nyingi za kiafrika zipo nyuma mno sema tunajifanyaga tunaichukulia poa nchi hii. Sasa angalia huyo mshambaa anashangaa something like tigo rusha yn kwao ndio inaingia, ndiyo maana kuna waafrika wakiwemo Wakenya huwa wananishangaa nikiongelea tigo rusha kumbe kwao hamna, wallahi leo nimeshangaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sell airtime and earn commissions ndio imeingia kundustan saivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa vifurushi vya Muda wa maongezi na biashara vinauhusianaje wakuuHii ndio unataka kucompare na Pochi la biashara. π€£ π€£ π€£
Kumbe kwao hakunakumbe kwao hamna
πππππ Nimeshangaa kweli, hiyo biashara saivi haina vibe sababu kila mtu anajinunulia bundles from personal account hata vouchers za kuscratch zimepotea madukani!Jamaa ni washamba kiboko, unajua hii Tz yetu iko mbali mno kwenye teknolojia, nchi nyingi za kiafrika zipo nyuma mno sema tunajifanyaga tunaichukulia poa nchi hii. Sasa angalia huyo mshambaa anashangaa something like tigo rusha yn kwao ndio inaingia, ndiyo maana kuna waafrika wakiwemo Wakenya huwa wananishangaa nikiongelea tigo rusha kumbe kwao hamna, wallahi leo nimeshangaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kipi hiyo huduma inafanya tofauti na Tigo rusha?Hii ndio unataka kucompare na Pochi la biashara. π€£ π€£ π€£ Pochi la Biashara is for small scale merchants, usiwe mjinga.
Hii kweli kuna siku niliangaika kutafuta vocha daaa , niliangaika kinoma.πππππ Nimeshangaa kweli, hiyo biashara saivi haina vibe sababu kila mtu anajinunulia bundles from personal account hata vouchers za kuscratch zimepotea madukani!