Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuseme tu ukweli, Mbeya haina hadhi ya kuitwa city.
Heheheeeee nenda kajinyonge, ulidhani mbeya ndiyo ile picha inayowafurahisha naona mmenyooka maamaee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna mji uta level Dodoma hapa East and Central Africa, Dodoma ni mji mpya uliopangwa kisasa, hiyo miji Dar na ka Nairobi ni miji ya kale haitoshani na Dodoma, bora Dar kuliko ka Nairobi kamejaa slums haka qualify kuwa level moja na Dom.
 
Huyo Mnuka mavi ni taahira, mjadala wa no. Of books ulishawekwa humu kitambo na ikaonekana wazi udsm library ina namba kubwa na analijua hilo na ndio maana hajaweka namba hapa cz tulishamaliza huo ubishi ila anarudia tena yale yale msenge uyo.
 
Kama 99% za Avocado za Kenya zinatoka Tz, then why is your Avocado export is only 7% while ya Kenya ni 41%? 😂🤣😂😂View attachment 2445703
We jamaa taahira kweli, sasa kama point of exit ni Kenya, statistics zikichukuliwa zitaoneshaje Tanzania?

Both packaged and unpacked avocados are massively channeled through kunyaland to overseas markets

 
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
We jamaa taahira kweli, sasa kama point of exit ni Kenya, statistics zikichukuliwa zitaoneshaje Tanzania?

Both packaged and unpacked avocados are massively channeled through kunyaland to overseas markets

The origin of the avocado is usually noted on the crates so usitudanganye hapa😂😂🤣. Hizo zenye mnaexport through Mombasa port plus Dar is slum port are the 7% unaona hapa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…