Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo mzungu analalamika watu wanamuomba hatari....mtaa mzima wote wanaomba hela...

The level of poverty iko Nairobi haisimuliki....


Halafu nguvu ya kujisifia wanaitoa wap
Hivi ni mimi mwenyewe naona Nairobi ipo overpopulated? Halafu wote jobless, Tanzania huwezi kukuta mtu anamshobokea Mzungu kiasi hiki, Kenya sijui ni ushamba sijui nini wanaweka kikao kabisa watu wazima wenye familia wanaacha shughuli zao kumshangaa Mzungu na kumuomba hela 🚮
 
Sijui confidence ya kumuomba mtu hela...na una akili timamu na nguvu zote inatoka wap?

Hii video ukiangalia kwa umakini utaona kuna tatizo kubwa sana Nairobi na kenya kwa ujumla....lavel ya umaskini haizungumziki...


Mji wao ni mchafu sana, public transport ni ya ovyo, barabara zina matope tena yale meusi

CBD ya Nairobi hiyo..View attachment 2443690View attachment 2443691
 
Aisee nipo kwenye puzzle inakuaje group lote lile linamfata Mzungu mwendo mrefu kiasi hicho na alishawaambia hataki wamfate ataenda na mmoja tu hotelini 🤔

Lengo lilikua kumuibia au bado wana imani watapewa msaada walionyimwa tayari!

Wakenya mnadhalilisha Africa, kwa tabia hizi waafrika tunaonekana vituko, ni 21st century lakini people in CBD behave like stone age primitives, yapo kama mazombi 🚮
 
So much potential for economic growth in the South. Arusha, Kili and Tanga represent the northeast.

 
No wonder Tanzania has the most extreme poor people in East Africa. Imagine Dar is the region with the highest average individual income which is only $177 per month. That's 17k Kenyan shillings 🤣🤣😂🤣. Dodoma which is their capital is poorer than Turkana😂😂. Dodoma average income is $64 per month.

 
Poverty is a real issue that people rarely discuss on here.
 
😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…