Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilichogundua ni kuwa, Kenya ni watu wenye roho mbaya zaidi nilivyofikiria na wanasubiri kwa hamu kubwa kutofanikiwa kwa Tanzania.

Ingawa kila kitu kiko wazi ya kuwa, zaidi ya locomotives na wagons 1400 kuwasili nchini na kandarasi zimegawiwa kwa makampuni mpaka China kama CRRC, CRG na kwingineko lakini kwa sababu za roho mbaya wao na wanasiasa wa upinzani wameamua kubaki na wanachotaka kusikia or kuona kikitokea.


 
Ni lini watanzania walitaka Kenya ifanikiwe kwa lolote. Angalia posts za vilaza wenzako Ichoboy na Thebest007 kuhusu kenya then take this nonsense away
 
Ni lini watanzania walitaka Kenya ifanikiwe kwa lolote. Angalia posts za vilaza wenzako Ichoboy na Thebest007 kuhusu kenya then take this nonsense away


Haya tuendelee kujifurahisha. hizo za Hyundai zitachelewa, lakini kuna huu mitumba bora wa Gorofa kwa sasa iko Germany ikipigwa msasa utawasili soon this 2023.

 
Unajua shida ni nn? Hawa wakundustan wanajaribu kujifariji kwa kulipiza baada ya kuwa tuliwacheka sn sasa wameamua kujitoa ufahamu, kiongozi wao mnuka mavi akisaidiwa na watchman Nicxie na kinachonishangaza zaidi ni pale wanapojifanya vichaa na hawaoni na wala hawataki kuongelea EMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yani wanaishi kwa matumaini na ukweli wanaujua, mm nakwambia hawa wakundustan kwa roho mbaya walizonazo, cku EMU zikiingia hutowaona humu ndani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Use this time and laugh the way you want but you know the EMUs will come and they are 10 sets . So better laugh best this time
 
Tanzania is already failed. That's why only 30% of your population is connected to electricity with 12,000km of paved roads. Tanzania rank behind Burundi in development index. The fact that most Tanzanians run to Kenya and South Africa to beg and also your leaders coming to Kenya for treatment just shows how your country is a failed one.
 
Sikiliza maneno ya waziri wenu wa serikali and stop living in a fantasy world. Utashikwa na heart attack bure
Sijui mbona hawa mafala hawataki kucome in terms with reality. Their minister is clearly stating that their trains are normal lakini bado wamefurisha kichwa kubelieve that they will still get bullet trains.
 
Sikiliza maneno ya waziri wenu wa serikali and stop living in a fantasy world. Utashikwa na heart attack bure
Umeona EMU ya ITX samuel niliyopost hapo ? Au unakaza kichwa na kujifanya mpunbavu , umeona speed inayoenda
Unahisi sijaiskiliza hio speech na kwan kuna mtu kasema eMUs zitaenda 200km/hr?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…