Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ume-quote mwanasheria badala ya rubani na mhandisi!
 
Uwanja wa mataifa kwa abiria wepi hao? Amka ndotoni ndugu mwaka wa tisa mmeshindwa kuwa na direct daily flights mnaunganishwa na Mwanza! Hata uliopo ulipaswa kuwa Kigoma!
 
Picha ya zamani ya Nyali bridge.., it was opened in 1980 and it was PPP.., mko nyuma yetu mnafuata nyayo.., sasa wewe ni both Kondoo na Mbuzi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂


Kshs 4/- 1980.., kabla ata sijazaliwa, baba zetu na mababu walikua wanalipia Nyali Bridge..,
 
Kwahiyo hutaki kwamba Tz hakuna njaa? Hao mbwa kuna makabila yanasemekana yanakula mfano Wahehe na wala haihusiani na njaa, usifosi tufanane na kamwe hatuwezi kuwa wazembe na wapumbavu kama Wakenya kwamba karne ya 21 bado wanaimba nyimbo za njaa, but again, tafuta ukipata sehemu kdf iliwahi kushinda vita yoyote ile niite mm mbwa usipotaja mbwa ni wewe nimekaa paleee [emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂 hapana hapa ni Danganyika land inchi ya asali na maziwa
 
Source KENYANS.co.ke alafu kuna mbwa zime like [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ujinga mzigo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 usizoee kukurupuka kwa mambo ambayo hauyaelewi, mimi nitaendelea kuwaumbua hadi chooni., MBWA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
yaani ata Mozambique wanapata Starlink na nyie washamba mnaachwa, naona zezeta mwenzako amecheka eti, poleni kwa kukosa maarifa na uelewa, miboya kabisa😂😂😂😂


 
Unajibu nani hapa? nenda ukule mwenzako👇 wewe mbwa, umechanganyikiwa asubuhi., 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Uwanja kuwa karibu na bahari ama ziwa sio issur Bukoba inahitaji runway extension , navigational aids nk. Duniani viko viwanja vingi sana pembeni ya lakes na bahari.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapana hapa ni Danganyika land inchi ya asali na maziwa
Sasa kama South Korea ama China wanakula mbwa inamaanisha ni njaa au ukosefu wa chakula kingine. Hivi vitu ni delicacy to some people.
 
Uwanja kuwa karibu na bahari ama ziwa sio issur Bukoba inahitaji runway extension , navigational aids nk. Duniani viko viwanja vingi sana pembeni ya lakes na bahari.
Uwanja uko karibu sio shida...tatizo ni hiki kisiwa kilicho kama mlima....mahali ndege zinapotua na kupaa...zinapita juu ya hiki kisiwa kinachokuwa kama obstacle...

Bila shaka umeelewa point...
 
Unajibu nani hapa? nenda ukule mwenzako[emoji116] wewe mbwa, umechanganyikiwa asubuhi., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2419989
Ile cku Tz kutakuwa na njaa, magonjwa, umalaya, wizi, ushenzi, ukosefu wa ujuzi hasa wa kisayansi kama Kunyaland uje tuongee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata Kenya wanakula mbwa.

 
Uwanja kuwa karibu na bahari ama ziwa sio issur Bukoba inahitaji runway extension , navigational aids nk. Duniani viko viwanja vingi sana pembeni ya lakes na bahari.
Bukoba airport utaiextend kuelekea wap wakati kila mahali kumezungukwa na milima na makazi ya watu..


Hio cost si bora wajenge uwanja mpya eneo lililo salama
 
Njaa mbaya dogs come in handy [emoji16]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…