Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
There are 500+ buildings with over 30 floors in Hongkong, 400+ buildings in Shenzhen.. tuzo zikianza kutolewa huko hadi zikifika huku tutakua tumeshakufa 🤣🤣 so hizo tuzo si chochote mzee, kaa kwa kutulia.. majengo yenu ni mabaya hayana muonekano mizuri .Tag me the day any Tower in Tanzania will win international award.
Says a person who believes in Wikipedia 😂😂There are 500+ buildings with over 30 floors in Hongkong, 400+ buildings in Shenzhen.. tuzo zikianza kutolewa huko hadi zikifika huku tutakua tumeshakufa 🤣🤣 so hizo tuzo si chochote mzee, kaa kwa kutulia.. majengo yenu ni mabaya hayana muonekano mizuri .
Unafkiri hii article inaweza badili ukweli kwamba britam ni jengo baya.? 🤣🤣🤣..Says a person who believes in Wikipedia 😂😂
Britam Tower named top skyscraper in Africa in global architecture awards
Winners are chosen by a jury of architectural experts from all over the world, while the nominated buildings are judged based on their achievements inwww.standardmedia.co.ke
Ingekuwa jengo baya haingepewa tuzo la kuwa jengo bora zaidi Africa.Unafkiri hii article inaweza badili ukweli kwamba britam ni jengo baya.? 🤣🤣🤣..
The best building in East Africa🤣🤣🤣 Britam so far 👇View attachment 2417017.. 🤣🤣
Tuzo zinatolewaga tu mkuu, zisikutishie sometimes hazina maana yoyote, Britam ni jengo bayaIngekuwa jengo baya haingepewa tuzo la kuwa jengo bora zaidi Africa.
So kati yako and the experts who awarded Britam the prize. Who should I believe? Goodnight.Tuzo zinatolewaga tu mkuu, zisikutishie sometimes hazina maana yoyote, Britam ni jengo baya
Both were designed by the same company and only Britam was chosen as the best. So chill and enjoy Britam.They all the tallest buildings in EA .. changua TPA 👇View attachment 2417018vs 👇View attachment 2417019which one is more beautiful than the other.? Teargass. Choose one
Kwahyo kwako wewe uzuri wa jengo ni taa .? 🤣🤣🤣We ni mpuuzi mmojaBoth were designed by the same company and only Britam was chosen as the best. So chill and enjoy Britam.
Uzuri wa jengo ni design. TPA is not even in the top 5 tallest buildings in East Africa.Kwahyo kwako wewe uzuri wa jengo ni taa .? 🤣🤣🤣We ni mpuuzi mmoja
🤣🤣🤣 Naona umekimbia, but guess what non of them buildings you've mentioned is of 40 floors .ni majengo yenye minara mirefu tu 🤣🤣.. only GTCUzuri wa jengo ni design. TPA is not even in the top 5 tallest buildings in East Africa.
1.Britam 201m
2. CEB 198m
3. GTC 184m
4. UAP 163m
5. Zemen 162m
Kwani unatakaje?Same three blue buildings ya kila siku.
Soma tena ulichoandika afu jitafakar.Ila inawezekana kwamba hawajavinja sheria wakiwa wanatoka huku. India wanasheria kali sana kuhusu dhahabu. Inawezekana walitoka hapa kihalali, walipofika doha wakavaa kwenye hizo vesti.
India mtu anaingiza dhahabu nyingi ni serikali tu!!
Picha ya kibabe sana hii.Somewhere in Tz View attachment 2416975