Watanzania hawana uwezo wa kujenga malls. Ukiangalia all malls in Tz they either owned by foreigners or government.Na Dar such level of a mall haupati.., Mombasa is killing Dar is slum as days go by..,
Nyinyi hata renders ndio hamna. Anyway mambo kwa ground is like this 👇👇👇Asante kwa render
Kuna jengo la taasisi ya kihindu nafikiria linajengwa pale ni kubwa sanaNimeona Crane ya Blue pale karibu na Mzizima tower, Hope kuna kitu kikubwa kinakuja.
Kuna jengo la taasisi ya kihindu nafikiria linajengwa pale ni kubwa sana
Bambari hiyo 🤣🤣🤣eti Bambuli 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 lishamba kutoka gongo la mboto, chief zezeta😂😂😂😂😂😂😂😂., sema Bamburi.., yaani BambuRI.., sio LI.., 😂😂😂😂😂😂😂, yaani ni mtaa wa anasa sana!, watanzania wako kwa wingi hiyo mtaa.,
Bamburi Mtambo, Mombasa
View attachment 2416448
View attachment 2416447
View attachment 2416449
🤣🤣 Hii mbona hata kwa Moshi town inakalishwa vibaya mnoTanzania bado iko stone age kwa wingi ikija standards za mitaa..., from Dar to vijijini..,
Nax Vegas!
Nimewahi kuzungumzia hii juzikati tu
Hivyo vijumba ndio huwa nacheka, vinakaa vijumba vya kota zile za mwalimu Nyerere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti Bambuli [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lishamba kutoka gongo la mboto, chief zezeta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]., sema Bamburi.., yaani BambuRI.., sio LI.., [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], yaani ni mtaa wa anasa sana!, watanzania wako kwa wingi hiyo mtaa.,
Bamburi Mtambo, Mombasa
View attachment 2416448
View attachment 2416447
View attachment 2416449
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na isikue umepotea njia unadhani hapa [emoji116] [emoji116] ni "Bambuli" [emoji23] [emoji23] [emoji23] , hapa sio Bamburi ni moja kati ya mitaa pale Kiembeni mjuu wangu.., zoea Kenya..,
Kiembeni Mombasa..,(mikusanyiko ya estates ndani ya Kiembeni)
View attachment 2416454
View attachment 2416464
View attachment 2416459
View attachment 2416465
View attachment 2416467
View attachment 2416468
Ya lini kama sio juzi tu hapa.Kwani expressway ilizinduliwa jana?
🤣🤣🤣 Vijumba vidogo, havieleweki, and he's busy posting them 🤣🤣Hivyo vijumba ndio huwa nacheka, vinakaa vijumba vya kota zile za mwalimu Nyerere [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi yenyewe ndio hio alooo mpaka nimecheka 🤣🤣🤣Kazi imeanza na haitasimama.., Nyali Mombasa.., sio Mwanza
View attachment 2416390
View attachment 2416392
View attachment 2416405
Sio Nairobi ni Mombasa, zoea Kenya mapema usije ukapotea njia bro 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
View attachment 2416396
View attachment 2416397
View attachment 2416404
View attachment 2416403
View attachment 2416399
Sasa zile gorofa zenu tatu zingefanya nani anyamaze? There's no day Dar will rival Nairobi in Highrise especially over 20 floors, over 30 floors and over 40 floors.Ni muda sasa turudi kwenye utukufu wetu,.. High rises kalikali, Miaka kadhaa wakunya walikuwa kimya humu hadi wachina walivyowatoa kimasomaso
Bado hujakoma? 88 Nairobi ulikazana ati render render. Ebu sasa angalia penye render imefika.Kazi yenyewe ndio hio alooo mpaka nimecheka 🤣🤣🤣
Kwani kuna majengo mangapi in the land of kenya yenye ni over 40 floors.? 🤣Sasa zile gorofa zenu tatu zingefanya nani anyamaze? There's no day Dar will rival Nairobi in Highrise especially over 20 floors, over 30 floors and over 40 floors.