Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kawaida ya viongozi wenu, akiingia tu kiongozi wa taifa kubwa basi rais wa Kenya atakimbia kwenda kupiga naye picha alafu anarudi. Nchi ya wapumbavu sn.
Hii sio pesa ya madafu wewe mpumbavu.., usijitoe ufahamu kisa wivu zako za kilaana, damu chafu ya ukoo wenu inakusumbua naona, tafuta ukombozi usife zezeta kama mababu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 .,
 
Hiv ww unafaham kuwa baadhi ya viongozi wa ANC kam vile Mandela ,Thabombeki ,Zuma walikuwa wanapewa hati za kusafiria za TANZANIA ili wafanikishe malengo yao je nyie wakunya mmemsaidia nani hapa Africa kujinasua kutoka kwenye makucha ya mkoloni
 
kwani umesahau kenya, tulinasua namibia, south sudan, liberia, somalia, ethiopia, DRcongo!?...... hebu gugo tafadhali, kisha urejee hapa, uscheze mbali... nakutegea kwa hamu🙏🏽

hope ume note vyema.... nimesema
Namibia around 1989-90,
SouthSudan around 2009-10,
Liberia in the 90s,
TheNewSomalia around 2001-03,
Ethiopia's (Oromo Tigrey region) at this moment 2022,
DRCongo at this moment 2022..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…