Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijaona ubishani usio na maana JF kama huu.
unataka wote tushinde MMU kubishana na wamama/wadada wa jf?.

au unataka wote tushinde jukwaa la siasa kubishana kuhusu siasa za chadema vs CCM?.
 
Tuanze na wewe kwa mfano
Mwenzio sio wa twenties kama unavodhani, Mimi nimekuwa huko Nairobi miaka Tisini mwishoni. Kibaki kaapishwa Niko town hapo kwa hiyo sio Mjadala kumiliki Nyumba tena zaidi ya Moja.

Kwanza wape Salaam Makadara na Ngong road kwa ujumla
 
That's a micro drop in the ocean.
huyo anafahimika kwasababu ni celebrity... ila nina hakika wapo wengine ambao sio celebrity, wanamiliki nyumba zao binafsi while in their twenties.
 
huyo anafahimika kwasababu ni celebrity... ila nina hakika wapo wengine ambao sio celebrity, wanamiliki nyumba zao binafsi while in their twenties.
So kwa ufupi majority of people in their twenties own houses in Dar than the minority who rent houses? Au unamaanisha nini?
 
Only the few privileged can build a house in their early twenties fresh from college
 
i have just noticed that kenyans are not used to seeing a young man own his/her own house in his/her twenties.

their mentality is that,a private house is supposed to be owned while you are approaching 40s or 50s.

well,this unnotable youngman owns his house in dar es salaam...and he is in twenties.
 

Hee!! Babu,huna haya kupost vitu via ajabu hivyo eti makaazi ya dar? huku kwetu hayo ni makaazi ya kule vijijini wala huwezi kuyapata hapa nairobi ,lakini nikikuambia uache nitakua nakupandisha cheo ,endelea kuweka utuoneshe jinsi ulivyoshamiri katika upumbavu.
 
Only the few privileged can build a house in their early twenties fresh from college
ni sawa...lakini sio kwa tanzania.

kutokana na mifumo thabiti ya sera ya ardhi chini tz,ni rahisi kwa mtz yoyote kupata/kununua ardhi ya kujenga nyumba yake ya kuishi.

kwa tz, hata mtu wa "kazi za jua kali",akiwa serious anaweza jenga nyumba yake.

kenya ni ngumu sana kwasababu mnauhaba mkubwa wa ardhi.asilimia kubwa ya ardhi yenu inamilikiwa na wachache.

uhaba huo wa ardhi unasababisha ardhi iliyopo sokoni kuuzwa kwa bei ghali kiasi cha kushindwa kutoa unafuu kwa vijana waliomaliza college au waliojiajiri kununua ardhi na kujenga nyumba zao binafsi.
 
binti wa mombasani,unalia nini?...punguza hasira.[emoji23] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…