Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona sijaona Magufuli City? 🀣 🀣
 
Why am I still arguing with someone who not only uses bundles but is always scared they'll get depleted? Broke ass n**.
 
Imekua USA iyo au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tutaendelea kushuhudia gap widening until tutapoanza kukua kwa double digit,mark my word
 
Tutaendelea kushuhudia gap widening until tutapoanza kukua kwa double digit,mark my word
Bora niwe na gape la kwenye karatasi kuliko kuwa na ukosefu mkubwa wa ajira, ma slums everywhere, ukosefu wa maji, ukosefu wa chakula na fedheha za kila aina.
 
Tukisema ka Nairobi kadogo wanachukia, yn picha moja kila kitu humo humo [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora niwe na gape la kwenye karatasi kuliko kuwa na ukosefu mkubwa wa ajira, ma slums everywhere, ukosefu wa maji, ukosefu wa chakula na fedheha za kila aina.
Ilo nalo neno,Sisi tunamatatizo yetu na wao wanayao hatufanani Sana...naona uko mifugo inakufa njaa, watu wanateseka njaa sana
 
uskaniulize mbona tanganyika sio moja wepo!
sio mimiπŸ‘πŸΎ .. ni fb

nb: this is a nigerian fb post



 
Ilo nalo neno,Sisi tunamatatizo yetu na wao wanayao hatufanani Sana...naona uko mifugo inakufa njaa, watu wanateseka njaa sana
Wana hali ngumu sana Wakenya, huwa wanajiliwaza na vijengo viwili vitatu na ka expressway cha mchina basi ila wako hovyo mno hata wao wanajua hilo.
 
uskaniulize mbona tanganyika sio moja wepo!
sio mimi[emoji1482] .. ni fb

nb: this is a nigerian fb post



View attachment 2387833
Egypt ipo kwenye vitabu.
Nigeria wizi.
South Africa wazungu wengi.
DRC magonjwa.
Ethiopia umaskini wa watu wake.
Uganda vumbi na political instability.
Kenya njaa, magonjwa na slums.

Tz inafahamika kwa utulivu na amani plus mount Kilimanjaro (the highest free standing mountain on earth)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…