babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,428
- 36,042
Kwaiyo ikikaa meli moja hapo Lamu ni habari ya kitaifa? One ship in 3-months really?
What if we decide to publish every ships docking at Tanga and Mtwara Ports ?
Wewe yafaa uende hospitali. 🤣 🤣 🤣 🤣Moshi is way better than this [emoji116][emoji116]View attachment 2387373View attachment 2387374View attachment 2387376View attachment 2387377View attachment 2387378View attachment 2387379
Mtu alinganishe hizo servant quarters na hii? 🤣 🤣Wewe yafaa uende hospitali. 🤣 🤣 🤣 🤣
These ones are servant quarters in Muthaiga. 🤣🤣🤣
Mombasa port alone receives more ships than all ports in Tanzania combined.Kwaiyo ikikaa meli moja hapo Lamu ni habari ya kitaifa? One ship in 3-months really?
What if we decide to publish every ships docking at Tanga and Mtwara Ports ?
Na bado hujaguza lower kabete, kyuna, kitisuru na spring valleyMuthaiga: The old Money
Hakuna mji umekaa Ulaya hapa EA kama Moshi kwa kila kitu, kama unabisha twende ground, kuna mtu kaitaja Kitisuru mpk nikatamani kutapika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe yafaa uende hospitali. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
These ones are servant quarters in Muthaiga. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Which 99% are food donationsMombasa port alone receives more ships than all ports in Tanzania combined.
Hauna aerial view..?Muthaiga: The old Money
Karen ya barabara za tope!Karen mansions
Mzizika tower likiisha CBD patakua moto sana
Ili tuwafikie Kenya inabidi gdp ikue kwa 10% mfulululizo kwa miaka kama 8 hivi chini ya hapo tutaendelea kula za uso...Rate zetu za >6% ndo tumezipeleka DRC. HuzunView attachment 2387543
Miaka ya juizijuizi ilivyokuwa. [emoji116]
2020, mwaka wa corona tulikuwa among wachache wenye +
View attachment 2387554
Afu watanzania. Ukiacha na mwaka wa 2021, mbona hawa wakurugwa wa kaskazin hakuna mwaka wametuzidi kwa growth % lkn sis GDP ipo almost kulekule chin ya 65? Au numeric change yao ni kubwa zaid? Lkn hakuna dalili ya kuwasogelea inspite of big % change yetu ya kila mwaka. Kuna uwalakin
Ninachoweza ku comment kuwa hizo ni forecast zinaweza kuwa ukweli au zikatofautiana kidogo..Rate zetu za >6% ndo tumezipeleka DRC. HuzunView attachment 2387543
Miaka ya juizijuizi ilivyokuwa. [emoji116]
2020, mwaka wa corona tulikuwa among wachache wenye +
View attachment 2387554
Afu watanzania. Ukiacha na mwaka wa 2021, mbona hawa wakurugwa wa kaskazin hakuna mwaka wametuzidi kwa growth % lkn sis GDP ipo almost kulekule chin ya 65? Au numeric change yao ni kubwa zaid? Lkn hakuna dalili ya kuwasogelea inspite of big % change yetu ya kila mwaka. Kuna uwalakin
sio maladhi ni maradhi.., tabia ya Tanzania tokea mababu 😝 😂Mficha maladhi kifo humuumbua, kitaeleweka tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]