Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania tumestaarabika sana,naona kuna dustbin hapo,kunyaland hizo wangekua washaziiba
Kwanza hyo terminal ingekuwa ishachakaa, mamichirizi ya mikojo, kinyesi na matakataka lundo, huwa wakizindua mradi wanahifadhi picha kwa ajili ya kupost siku za baadaye cz sio wastaarabu na hawajui kutunza kitu. Expressway ya mchina ishaanza kuchakaa mpk hapa tunapoongea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa ni machafu chafu by nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…