Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani unashangazwa na kitu kidogo kama Dodoma, organization gani hiko hapo eti? just scattered residential houses, town tunaijua..., tazama Kiambu kisha linganisha, uwe unachunguza na kulinganisha kabla ya kukurupuka..,

Ata haiwezani na Kajiado county..., yaani nyie bado sana.., ikija organization tuliwatangulia., just watch pole pole..,

ama just Ruaka.., kasehemu kule Kiambu..,

Eldoret ata usiseme...,
 
Nakuru je?

See the organization.., The best 007 weka ushabiki na utani kando, just watch.., hapa maybe miaka hamsini mbele kisha mje tujadiliane, standard housing kwa ukubwa na upana..,

Nakuru, watch drone view from 9:40..., kisha watch hiyo ya Dodoma ndio uonge..,
 
Geita tu inazizima zote kama mshumaa

 
Unataka nikuletee na Singida? 😅😅😅
 
We unaumwa wewe, yn kasehemu kadogo kamejengeka but eneo kubwa ni pori ndio ufananishe na lile eneo kubwa vile pale Dodoma? Hata kama ni wivu basi huu wako ni wakike, aya naweka picha ya nilichokiona afu tulinganishe.
 
Linganisha na hii, mana nahisi kwa wivu ulionao hata video hujaangalia, mm nakuwekea picha sasa uumie vzr [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio zao, vinyumba viwili vinapigwa angles zote vionekane million 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…