Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa inachekesha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2383799
Weka na hii angle pia, usiogope, ni Mombasa bado.., Mombasa imekosa tower tatu tu, mchezo kwishaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚



Dar pia inachekesha.., hizi second tier cities duh! 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
wacha uwivu pia na wewe..
tafuta wako wakukufuga..
since umri wako bado mdogo, unaweza shuka nyewele ama usuke mohawk, ama rasta, na uwe mwembamba, pengine unaweza pata ata mzungu [emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo wivu nimeongea nilichokiona.
Me nina familia bana huko nilishatoka. Ila hongera kwa kupata muda wa kuwa na bae wako. Macho yako yanakudanganya shauri yako [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hiyo ya pili nimependa mazingira ya washroom yako poa rangi za tiles zimetulia.
 
Anakufanyia mambo yote haya halafu baadaye umcheat aisee [emoji109][emoji109][emoji109] na utafungiwa Jf maisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…