Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi mapicha picha ya uchafu ya Wakenya huwa unayapata wapi maana unawachapa nayo daily halafu hayaishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa jamaa hawana cha kunidanyanya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Man, but, the level and feeling of life ya huyo mwenye hio chopper imepark hapo kwa nyuma is superb[emoji119].. wengine wanahangaika na range rovers or VX..huyo mwana kapark chopper [emoji1787]

I bet , he is a politician
 
Dem Sura ngumuuu
 
Hawa Wakunya ndiyo kusema wamesusa kama mwaka 2019 au dozi nzito [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Suti ilishonwa na mkono hii, halafu hawana dental clinic yaani Naibu Rais anashindwa kusafisha meno kweli??
Huku kwetu humkuti mbunge yuko rough sembuse ngazi ya Urais.
Usafi! Usafi jama!!
Huyo jamaa ni Mchafu Pro
 
Suti ilishonwa na mkono hii, halafu hawana dental clinic yaani Naibu Rais anashindwa kusafisha meno kweli??
Huku kwetu humkuti mbunge yuko rough sembuse ngazi ya Urais.
Usafi! Usafi jama!!
Lazima ujue, huwezi toka kwenye maisha ya umaskini wa kutupa, chakula shida, shule peku peku then ujue kupiga pamba za maana out of the blue ๐Ÿ™„๐Ÿ™„

Watanzania ni tofauti sana na hawa na hawa Wavunja kuni.
 

๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ