Matunda ya Dodoma ni wajukuu na vitukuu vyenu ndio vitayaona.., sio hiki kizazi bana, uchumi wenu hafifu, itawachukua muda sana, ni ndoto mnayo tu.., 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anaiwaza kinoma 🤣🤣🤣, na itamtesa sana hiv karibuni, hii battle ataikimbia sio muda
Na hiyo baridi ya Eldy how do u cope? Mimi ilinishinda, kwanza jioni, usiku na early morning! Wah!.., coffee or tea Kila wakati..,then imagine on a Sunday afternoon, but eldoret is so busy! pple going about their business like any other day.. eldoret is so neat, every corner is so beautiful, the town is just shining..... 💥🔥🔥View attachment 2381818View attachment 2381806View attachment 2381839View attachment 2381807View attachment 2381808View attachment 2381809View attachment 2381820View attachment 2381811View attachment 2381812View attachment 2381821
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio mana nilikwambia we jamaa una kinyongo, yani unaumwa moyo ukiona tunaendelea.. kule tulitoka kuzungumzia affordable houses na venye zinafaa kuwa decent, umeshindwa naona umekimbilia kwenye luxury 🤣🤣🤣 tena eti in comparison na DAR.. utaweza.? 🤣🤣🤣. Hata ukizungumzia luxury bado sisi Tz estate ina maana kubwa mno na zinakuwa luxury haswaa .. naona umepost hadi renda kujitetea 🤣🤣🤣Yaani ni Dar mnajenga nyumba za kizamani🤣🤣🤣🤣🤣.,
Mombasa ni🔥🔥🔥🔥🔥., Kiembeni ni mtaa wa zamani sana😂😂😂, Mimi sina kinyongo na naijua Tz bana, mnanichekeshaga sana vile lazima muitetee Tz ata kwa kile hakitoshi😂😂😂😂😂😂
Mombasa.., Buxton🔥🔥🔥🔥🔥.,
View attachment 2381830
View attachment 2381831
Itawachukua muda to be where we are kote kote kwa maana hatujasimama.., tunasonga mbele Kila uchao..,
Nime save hii comment yako nitaitumia mwaka kesho ..Matunda ya Dodoma ni wajukuu na vitukuu vyenu ndio vitayaona.., sio hiki kizazi bana, uchumi wenu hafifu, itawachukua muda sana, ni ndoto mnayo tu.., 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Buxton zile ni affordable bana, ona sasa?😂😂😂😂😂., how many affordable housing mmekamilisha kwa sasa? kwa vile pia hio sector tumewatangulia.., dogo tusisumbuane just google affordable houses in Kenya ujionee.., usiogope, hakuna haja tubishane vitu obvious na Kuna ata google earth..,🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ndio mana nilikwambia we jamaa una kinyongo, yani unaumwa moyo ukiona tunaendelea.. kule tulitoka kuzungumzia affordable houses na venye zinafaa kuwa decent, umeshindwa naona umekimbilia kwenye luxury 🤣🤣🤣 tena eti in comparison na DAR.. utaweza.? 🤣🤣🤣. Hata ukizungumzia luxury bado sisi Tz estate ina maana kubwa mno na zinakuwa luxury haswaa .. naona umepost hadi renda kujitetea 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Unaweza hata unafanya kwa maumivu unayopitia, many of your affordable houses ni ushuzi mtupu ukilinganisha of what we have .. ukibisha leta luxury housing proj zenuBuxton zile ni affordable bana, ona sasa?😂😂😂😂😂., how many affordable housing mmekamilisha kwa sasa? kwa vile pia hio sector tumewatangulia.., dogo tusisumbuane just google affordable houses in Kenya ujionee.., usiogope, hakuna haha tubishane vitu obvious na Kuna ata google earth..,
Please do, kwa majaliwa ya Maulana tutakua hapa sote.., I wish u well, naomba mkamilishe miradi.., mko na mwendo wa kinyonga sana!!.,Nime save hii comment yako nitaitumia mwaka kesho ..
Unachosha na domo domo zako wewe😂😂😂 kukubali ukweli that is too obvious ni matanga kwako, kha!🤣🤣🤣 Unaweza hata unafanya kwa maumivu unayopitia, many of your affordable houses ni ushuzi mtupu ukilinganisha of what we have .. ukibisha leta luxury housing proj zenu
Ukiingia ku google luxury housing proj zenu zinakuja hizi zenye uko hapa kujipiga kifua kuwa ni affordable 🤣🤣🤣🤣Unachosha na domo domo zako wewe😂😂😂 kukubali ukweli that is too obvious ni matanga kwako, kha!
Wacha ni watch Arsenal vs Liverpool.., wewe endelea kujichocha💪😂😂
Sawa wewe unajua..,Ukiingia ku google luxury housing proj zenu zinakuja hizi zenye uko hapa kujipiga kifua kuwa ni affordable 🤣🤣🤣🤣
Halafu huu pipeline mnasemaga hizi picha za zamani kumbe ndio currently pic haaaaaaaa. Uchafu ni kipaji kumbe kunyaland hadi wanasemaga kwenye matatu kuna kunguni
Kwanini amepokeewa na waziri?Ruto kanogewa na banner la royal tour. Macho yote kwa banner.. naona wamekuja kufanya benchmarking 😅
View attachment 2381932
kama mama yuko busy?Kwanini amepokeewa na waziri?
am well soughted bro. am aware of the coldness here. had to buy staff at Naivas supermarket while in town today, to counter this messNa hiyo baridi ya Eldy how do u cope? Mimi ilinishinda, kwanza jioni, usiku na early morning! Wah!.., coffee or tea Kila wakati..,
Mama alikuwa baraza la maulid at Diamond JubileeKwanini amepokeewa na waziri?
But you were not in his shoes ujue what he passed through , let him console himselfHivi Huyu boya anajua sasa hivi yy ni kiongozi wa nchi Aache kusuta vyombo vya Usalama![emoji706]
View attachment 2381923