Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yaani kwa Kiingereza au kwa Kiswahili (kuandika) hamtufikii nyie washamba wa Bongo Town ila kwa kuzungumza kiswahili jamaa mko poa sana..
 
kwa kiswahili nawaheshimu sana ila kwa kingoso utaskia mbongo akijiabisha tu...
Kwahiyo ni sahihi kusema nyie mnajiaibisha kiswahili ,hamkifahamu mnanyapianyapia tu...

Hamuwezi kuandaa andiko likaeleweka na hamuwezi kuandika kitu bila u kuchanganya lugha
 
kwa kiswahili nawaheshimu sana ila kwa kingoso utaskia mbongo akijiabisha tu...
kingereza chako kimekusaidia nini?....mbona mpaka leo unalala katika ka-bedsitter hapo githurai?[emoji23] [emoji23]
 
kingereza chako kimekusaidia nini?....mbona mpaka leo unalala katika ka-bedsitter hapo githurai?[emoji23] [emoji23]
kiingreza ndio msingi wa masomo yangu na kazi yangu...yaani bila ufaham mzuri wa kiingereza ningekuwa sasa hivi jobless...na sio jokes
 
el matador na sadiki,
ambieni ma-jobless wenzenu hapo nairobi waache ukora....stop terrorizing the CBD area..otherwise mtakula copper....hessy huwa hatanii na hataki ujinga...mtajua hamjui.you have been warned.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haha ila Jay kiswahili chako pia kibovu tu sioni sababu ya kuwapiga pini sana hao
shuleni nilikuwa gwiji wa uandishi wa insha...tuseme nimelegea kidogo ila kwa uandishi wa kiswahili mie ni sugu...kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…