Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo hatujengi gorofa mbovu mbovu mzee, hatujengi gorofa Ili mradi tu .. lahasha.. Sisi tunazingatia viwango manzee
 
Hii serikali inatoa wapi pesa za kujenga longest SGR in Africa na Nyerere Dam na miradi mingine mikubwa ukanda huu na bado wana pesa za kuchezea kwenye huu mradi? Nani anawafinance?

Wangekua na pesa wangetubana tozo ili wajenge zahanati nk?misplaced priority tu hapo hakuna ulazima wowote wa kujenga iyo bandari kwa sasa
 
Ghorofa mara 50 [emoji3][emoji3][emoji3]
Ziko wapi hizo . Na huko 60% Mnakaa kwenye slums
Slums constitute 6% of Nairobi land area. Majority of Nairobians live in places like this.



While most Darlites live in places that look like this.



Nairobi's upper middle class live in places that look like this


While your upper middle class live in places that look like this


Nairobi's High Class live in places that look like this


Dar's high class live in places that look like this


When we say Nairobi has 50 times your storied buildings we are not kidding.
 
Thank you.
 

I am fully aligned with you, in that 6% is where 60% equivalent to 2.5m of Nairobi residents reside. Si maneno yangu haya, ni Statistics say so, takwimu kaka, takwimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…