Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asanteni sana wakenya kwa kutuwekea picha za nyumba za nairobi zinazomilikiwa na wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa wa wa kenya.
 
naliamsha dude...plz plz a tanzanian show me the tanzanian equivalent of this...
 
asanteni sana wakenya kwa kutuwekea picha za nyumba za nairobi zinazomilikiwa na wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa wa wa kenya.
kikikikkkk.....asante sana kadoda kwa kuteletea nyumba za vijijini
 
show me a city centre recreational park like this one in Dar and I will respect you😀😀😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…