Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata utaongea nini, Ila ukweli utabaki palepale Kisumu level zake ni Moshi town.. fulstop
Ukinionyesha anything like thisπŸ‘‡πŸ‘‡ in Moshi, Arusha ama Mwanza nafunga account nakuhama jf kabisaa., utangoja miaka 25 mbele 😝 😝 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚




 
Malizana na Moshi town kwanza . Ndio utaje hizo League kubwa.. Kisumu CBD so far πŸ‘‡vs moshi CBD kitu nnachokiona sanasana Moshi town is at least 5 years ahead of Kisumu .. hutaki kunya boga.. Ila huo ndio ukweli
 
So kumbe hapaπŸ‘‡πŸ‘‡ sio Kisumu ni nairobi eti? mimi naifananisha nje ya Kisumu CBD na Mwanza, Arusha na Moshi combined, unakwepa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., haupati jibu leo wala kesho hadi mwisho wa dahari.., video clip ya african traveller nimeitazama, Kisumu ni kali, wewe umeokota visehemu kujiliwaza mr. Propaganda.., the clip does not even cover Kisumu yote..,

Nje ya Kisumu CBD kuna gorofa nyingi sana kuliko Mwanza, Arusha na Moshi combined ama unabisha?πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...,





More developed road network kuliko miji yote ya Tanzania nje ya Dar.., utabisha pia?






 
Utamaliza maneno mzee na vipicha vya mitaa isio hata na lami 🀣🀣🀣.. mwenzako alishamaliza utata πŸ‘‡ . The best of Kisumu 🀣🀣🀣.. kwa hapa bongo huu uchafi marika yake ni Moshi town
 
Kisumu 🀣🀣🀣, kelele mingi kumbe hata moshi inaitoa kamasi.. Don YF ndugu yenu aliwachoma juzi kurusha drone
Afrikan traveller alifanya kazi nzuri sana dogo.., he didn't cover Kisumu yote but hiyo clip iko sawa sana, Kisumu iko na class bana wewe unalazimisha fikra zako na kile unatamani kiwe..., mbona usiwache video ijitetee, infact I wish ange cover Kisumu yote.., ni Dar pekee ndio itajaribu kutoa jibu., roundi hii mtalilia kwa choo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mwenzako alitumia akili kutopoat hizo aibu wewe unazopost humu 🀣🀣🀣 mitaa yenye haina lami, ni sharks all over, no sewage system 🀣🀣🀣.. akapost the best .. na ukiichukua the best of Kisumu kwa hapa bongo league yake ni Moshi town..
 
Utamaliza maneno mzee na vipicha vya mitaa isio hata na lami 🀣🀣🀣.. mwenzako alishamaliza utata πŸ‘‡ . The best of Kisumu 🀣🀣🀣.. kwa hapa bongo huu uchafi marika yake ni Moshi town
Hiyo ni Kisumu yote kwa akili yako? 😝 😝 😝 πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ..,
nionyeshe thisπŸ‘‡πŸ‘‡ places kwa hiyo clip, just freeze then screenshot and post kama utapata., sehemu ambazo Mwanza, Arusha na Moshi combined haiwezi toboa., ni Dar tu ndio inaweza jibu..,



 
And very soon moshi itaaga league ya Kisumu kwasababu Moshi inakula gorofa tu kila uchwao, Kisumu ijiandae na League ya Iringa au Moro town .. Don YF 🀣🀣🀣
 
Wacha kulazimisha ujinga wako dogo..., the guy had his objective.., so huyu Alex Chamwada yeye hakutumia akili kwa vile kwa dfrone clips zake ameonyesha sehemu ambazo Afrikan Traveller hajaonyesha? nyambaff.., hapa nimekushika makendeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Hizi ni ushwazi tu kwa kule Moshi so far. 🀣🀣🀣🀣🀣, Mwenzako aliacha kupost hizi kwa kuogopa aibu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…