Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mwanaume lakini unaogopa kama kuku jike πŸ˜‚πŸ˜‚, why can't you just post any road from Singida enye unajiamini nayo?
Kuna muda uwe na akili timamu we jamaa, nitawezaje kujiingiza kwenye discussion enye haipo, nikipost barabara tano kutoka Singida we utapost nini then.?
 
Hopefully haukusoma hii πŸ‘† Post, usitaje upuuzi unaoitwa lordwar mbele ya Singida likija suala la barabara
Nimeshakuambia sioni cha maana hapo. Hakuna mji Kenya ambao hiyo Singida imeshinda kwa barabara.

Tazama Kakamega kwa mfano - kamji kadogo magharibi mwa Kenya, ebu fananisha na huo upuzi wa Singida alafu uiambie.



 
Lodwar, a town in the poorest county in Kenya, has better roads than these.
Mzee siongelei highways across the town, naongelea standard streets zenye solar-powered lights, pedestrian sidewalks, well marked signs, clean streets etc,

ukiondoa hicho kipande kidogo cha trunk road kilichopita lodwar kuna barabara zipi za maana zinazokatiza kwenye different streets za lodwar?
 
Unazungumzia ile high way inayokatiza pale kijijini .? 🀣🀣🀣
Tena tukija kwenye barabara za halmashauri ndio utaona hawa wapumbavu watakavyoumbuka, counties zao 70% ukiondoa barabara za highways hakuna streets zilizo paved, kama nasema uongo wabishe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tofauti na Tanzania unakuta halmashauri haijaungwa na wilaya nyingine kwa lami lakini ndani ya halmashauri wana mtandao mzuri tu wa barabara za lami
 
Hawa jamaa ni Wana matatizo sana 🀣🀣🀣, ngoja tuone atajibu nini
 
Hakuna barabara hapo, weka video
 
Chizi ni wewe sababu unapingana bila evidence.
Wewe ni mwehu Unaetafuta pakutokea na wala hutoki hapa.. kimara kibaha πŸ‘‡ione vizur hapa πŸ‘‡render yake hii πŸ‘‡two dedicated lanes are for BRT, sita zilizobakia ni kwa magari kawaida.. he hizi ni 6 lanes.? 🀣🀣🀣.. tena kimara kibaha ni bora kuliko thika kwasababu kimara kibaha Iko na BRT lanes . Kitu mnachooendelea kuota kila siku
 
Ila hii ni barabara ovyo ya mtaani, sio ile tunayojigamba nayo. Natumai ishatengenezwa uoya maanake picha ni ya zamani kidogo. Yani nyinyi mmepost ile yenu best na inakaa hivyo.
Best nilizipost haujaziona nini.? 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…