Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hujapona tu? Bwana Tony254?
 
Without Kenyans your tourism industry will be dead.

View attachment 2353386
🤣🤣🤣🤣 Soma vizuri ulichopost we fala.. tittle imeandikwa nchi za AFRICA zilizochangia idadi kubwa ya watalii Tz. Ambapo kenya mnakuja 80k while Tz tunapokea more than 1 million tourists kwa mwaka that means Kenyans uchangiaji wenu kwenye utalii wetu ni less than 9%.. unajimwambafai vipi kwamba without you guys utalii wetu utakufa.?? 🤣🤣🤣🤣 Au hujui hesabu.? Hata msipokuja wote nyie bado tutaendelea ku record 1 million tourists annually ..
 
Hii mwaka tourists to Tanzania bado haijafika 1 million. The leading country is Kenya with 86k, USA only have 51k.
 
Alaaaa kumbe tunawapiganisha. In 7 months wamepata just over 700k visitors while Kenya in 8 months tumepata over 900K almost 1 million visitors.
Hua wamejikaza kupost pictures za land cruisers kwa national park so as to justify pesa Mama alitumia kwa Royal Tour.🤣🤣🤣🤣 Na bado Kenya inawacharaza kama burukenge on an election year. Last year tuliswashinda kwa revenue despite receiving less visitors, this year tunawapiga pande zote. 🤣🤣🤣🤣
 
na mbona isiwe for 8 months pia Tanania yaai August peak season mmeiacha!
 
Ile cku utaniletea credible source kwamba mmepokea watalii 900k njoo tuongee, tatizo lenu nyie Wakunya ni ******* sn, unamsapot huyo mnuka mavi wakati unajua kabisa kanaongopa, watalii wako wapi mbona hatuwaoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hivyo waziri wetu wa utalii sio credible source. 🤣🤣🤣 Kubali matokeo, ukichengwa tulia.

 
[emoji23][emoji23]
 
Hehehe 🤣🤣😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…