Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mikumbafu imekosa jibu, sitawai fananisha Nairobi to Dar.., Mombasa imeitosha, hakunaakazi average ya raiya in Dar imeweza za Mombasa, nimengoja jibu, wamekwama kutafuta pakutokea, kama wangekua na anything to show hawa vilaza wangemwaga vipicha angles zote. Na bado, will rub it on their faces and condemn them to their place.
 
Mombasa iko na makazi yenye ya watu wakawaida yenye Dar ni ndoto kwa mtu kama wewe.., yaani mmeshindwa kuonyesha Dar, mnajua ilivyo, unazunguka visehemi duni picha za zamani kisa tumewabana.., kwa wastani Mombasa ni nafuu sana kuliko Dar is slum.., kama unabisha weka hapa hizo nyumba za watu wa kawaida.., nitag ukioata jibu kutoka Dar ama Tanzania yote., najua Dar yoote ilivyo, usisumbuke, haiwezekani leo hii upate jibu😜😜, aibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Humdanganyi mtu tofauti na kujifurahisha kama kichaa tu, tofauti na hapa hakuna Mombasa, zaidi ya angles tu picture moja angle ya kushoto picture nyingine kulia 😂😂😂

View attachment 2352562
Mombasa mnatafuta vipicha vya kitambo, same with Nairobi, mbona mmechoka hivi? Mnajaribu kujikomboa kwa propaganda mjidanganye na kujiliwaza, poleni kwa maumivu, mtanyooka kwa lazima, hadi raha😜😜🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,
 
Mm huwa nashangaa sana mnawezaje kufananisha City yenye modern infrastructures to the city with outdated infrastructures? Dar iko mbali kwa ss, hakuna infrastructure ipo ka Nairobi ikakosa kuwepo Dar ila kuna infrastructures kibao zipo Dar huwezi kuziona East and Central Africa and many other African countries.
 
Yes, Kenya has the best infrastructure in East Africa according to him/her.
Which infrastructure? Infrastructures ambazo hata nchi maskini kama Sudan wana afford ndio unaita best infrastructure? Tz kuna infrastructures ambazo nchi maskini kama Sudan, Uganda, na Kenya haziwezi kuwa nazo kwa miaka mingi ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…