Sasa hivi mnatucheka kwa sababu hatuna Rais ...kwa sasa tunakubali kushindwa na hii miaka ya samia mkitumia vizuri mtatuacha mbali sana ...serikali ya samia imefirisi nchi kwa sasa..[emoji1787]Hehehe Yani Tanzania a country of 65M people is building same number of houses in a year as Kisumu a county of 1M ?[emoji23][emoji23][emoji23]
This is the ranking.
Nairobi 16, 200
Tanzania 1,153
Kisumu 582
Mombasa 504
Nakuru 484
Eldoret 332
It has exposed vile tunawatafuna bila huruma, Kenyans too are the beneficiaries of the export revenue, so whenever u post Tz annual export revenue jua pia na sisi tumeimega.,ππππππππHivi wewe ujinga wako ni kiasi gani?, Siku zote wewe na wajinga wenzako hapa mlikua mnasema Tanzania tunauza mahindi ambayo ni "cheap export", Leo kwasababu umegundua kwamba Kuna wakenya pia wanafanya hiyo biashara, ghafla umegeuka unasema wanapiga pesa nyingi kwa kuuza mahindi Kenya toka Tanzania.[emoji38][emoji38][emoji38]
80% ya wafanyabiashara wa mazao kutoka Tanzania ni watanzania, hiyo 20% iliyobaki ni wakenya, Rwanda, DRC na Burundi. Hizo exports permits zimezuiliwa kwa raia wa nchi zote kusafirisha mahindi toka Tanzania, sio wakenya pekee, lengo ni kuwalinda raia wa Tanzania kwa kuongezeka kwa Bei ya vyakula
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa hii Ina faida gani wakati inajulikana kuwa watu na mifugo tele wanakufa njaa?The number of new buildings being built in Nairobi alone is 16 times bigger than the Numbers of new buildings being built in entire Tanzaniaβ¦
Na kwa hizo ujue zile uswazi zao hawa hesabu, coz they are increasing rapidly, ziko on steroids, must be 100,000 in a year just Dar alone π π π π π π π π πThe number of new buildings being built in Nairobi alone is 16 times bigger than the number of new buildings being built in entire Tanzania.
Nairobi
View attachment 2348790
Tanzania
View attachment 2348792
This headline inakera wale wenye roho chafu na wivuππππππππThe most transparent election in Africa, the most independent judiciary in Africa. Tanzania is envying the democracy in Kenya.
View attachment 2348841
Weka hapa hao watu tele wanao kufa njaa tuone, statistics 2022?.., mbona ukweli ya kuonyesha hali yenu huwa inawakera hivyo? ukweli mnchungu, mko na nchi kubwa, uchumi hafifu, low development on average, watu wengi mifukara, uzembe, ushamba....., πππππππππππSasa hii Ina faida gani wakati inajulikana kuwa watu na mifugo tele wanakufa njaa?
Siyo kweli ila kama ujui uchumi ...maisha ya mtz ni mepesi na bora kuliko maisha ya nchi zote za africa ya mashariki na kati sababu ni mfumo wa ujamaa ulisaidia sama kuthibiti mabepari wenye uchu ...hapa dar es salaam unapata kiwanja hadi sh milioni moja 25 x25 je nairobi au mombasa unaweza kupata kwa hiyo bei ksh50000Sio eti tutawaacha, tuliwaacha mbali tokea zamani. ila matumaini ya kutufikia ndio inadidimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani hali ni mbaya serikalini sema nyinyi amjui tu sasa hivi hata umeme tutapandishiwa bei pia mafisadi wa kiarabu wamejipanga kumiliki serikali kwa manufaa yao ...mm ninawaambia ukweli sasa hivi tusithubutu kujipiga kifua mbele ya wakenyaNawewe unakubaliana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah!! Pole sana
Fact π π πHakuna city yenye nyumba nyingi za udongo kama Mombasa hapa EA.
Ndio hatukatai lakini ni block sio tope na shacks kama zikizotapakaa kila kona ya naipori, Mombasa tumeshakubaliana ni Africa's mud huts HQ πππEti lowest una kicha wewe π π π π π π π π , hiyo ndio standard housing ya raiya wa kawaida, kwani Dar nyote ni lowest? kwa vile hiyo ni representation ya 90% ya jiji.., google earth pia ita confirm, wacha kujikosesha ufahamu, kumbe DSTV ni big deal uswazi country!ππππ mko hovyo taifa mzimaππππππππππ
View attachment 2348832
View attachment 2348833
View attachment 2348834
View attachment 2348836
Nawashangaaga sana wakenya wanajivunia niniTunasafari ndefu sana,tukitoka huku ndiyo tujivunie otherwise hapa tutaishia kujichoresha
Hii ni fedhea kwa taifa yaani ndani ya jiji kuu unakutana na uvundo kiasi hiki[emoji22][emoji22][emoji22]
Too badView attachment 2348613View attachment 2348614View attachment 2348616View attachment 2348618View attachment 2348619View attachment 2348620View attachment 2348621View attachment 2348622