Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lowest standard of housing in Dar (block house) electricity and dstv


Lowest standard of housing in Nairobi (mud huts and shacks)



Huna hata akili ndogo ya kuona tofauti?
 
Hakuna city yenye nyumba nyingi za udongo kama Mombasa hapa EA.
 
Kenya is the leading country in Africa that's pushing for electric mobility.

 
Hivi wewe ujinga wako ni kiasi gani?, Siku zote wewe na wajinga wenzako hapa mlikua mnasema Tanzania tunauza mahindi ambayo ni "cheap export", Leo kwasababu umegundua kwamba Kuna wakenya pia wanafanya hiyo biashara, ghafla umegeuka unasema wanapiga pesa nyingi kwa kuuza mahindi Kenya toka Tanzania.[emoji38][emoji38][emoji38]

80% ya wafanyabiashara wa mazao kutoka Tanzania ni watanzania, hiyo 20% iliyobaki ni wakenya, Rwanda, DRC na Burundi. Hizo exports permits zimezuiliwa kwa raia wa nchi zote kusafirisha mahindi toka Tanzania, sio wakenya pekee, lengo ni kuwalinda raia wa Tanzania kwa kuongezeka kwa Bei ya vyakula


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
The number of new buildings being built in Nairobi alone is 16 times bigger than the number of new buildings being built in entire Tanzania.

Nairobi



Tanzania
 
Hehehe Yani Tanzania a country of 65M people is building same number of houses in a year as Kisumu a county of 1M ?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

This is the ranking.

Nairobi 16, 200
Tanzania 1,153
Kisumu 582
Mombasa 504
Nakuru 484
Eldoret 332
 
Eti lowest una kicha wewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , hiyo ndio standard housing ya raiya wa kawaida, kwani Dar nyote ni lowest? kwa vile hiyo ni representation ya 90% ya jiji.., google earth pia ita confirm, wacha kujikosesha ufahamu, kumbe DSTV ni big deal uswazi country!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mko hovyo taifa mzimaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…