KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Tulienda onebyone tukawashindaThis is the photo I like..only two towers
Hiyo ni moja ya sehemGorofa zinahesabika na vile huwa mnapiga kelele hapa
naona unatuwekea picha za kisumu[emoji38][emoji38]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]MAISHA MAGIC BONGO Is ran in Nairobi ....tz is still inferior
Wewe nawe umefufukia wapi tena baada ya Dar kupigua kipigo cha umbwa koko kwenye majengo ya over 20 na NairobiTulienda onebyone tukawashinda
Then bado unajitamba ni kubwa
Apo bado kuna majengo ambayo yanamalizika uko nairobi hakuna
MNF ×2 30fl
MZIZIMA 35 33
PPF HQ 35
Apo sjui mnasemaje
Above 30 mna majengo matatu tu
Ambayo ni TELESPOTA, UAP na BRITAM
Akat tanzania kuna majengo5 above30,
Af dsm ina majengo mengi compared to NAI haijalishi above 7 but ndo hvyo
Ukielekea upande wa building density ndo usiseme
Na DSM majengo marefu hayako sehem moja
Nimefika sana Nairobi
Kiukwel mji wenu umejipanga ila kwa majengo DSM ni habar nyingine
MAISHA MAGIC BONGO Is ran in Nairobi ....tz is still inferior
mnazidi kudhihirisha ni jinsi gani elimu ya kenya haijawasaidia kuwaondoa katika ujinga.[emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1]
mnazidi kudhihirisha ni jinsi gani elimu ya kenya haijawasaidia kuwaondoa katika ujinga.[emoji23] [emoji23]
acha nijitolee kuwaelimisha.
maisha magic bongo ni tv channel(not tv station) inayopatikana katika decoder ya dstv,ikijikita katika kuonyesha local movies/content za kitanzania zilizo andaliwa kwa lugha ya kiswahili.
hiyo ni channel tu sio tv station,hivyo basi unaweza kui-manage popote pale kama una content za kutosha.la msingi ni content tu sio wapi ina-ran.
kama operational offices za dstv kwa EA zipo kenya,basi sio issue content za maisha megic bongo zikiwa zinakuwa distributed kutokea kenya.
kwa mfano,azam tv ina ran channel inayofanana na maisha magic bongo,
inaitwa sinema zetu channel.
imejikita katika kuonyesha local movies za kiswahili zinazotengenezwa na watanzania.
itabidi mjielimishe kuhusu tofauti ya tv station na tv channel.
Tulienda onebyone tukawashinda
Then bado unajitamba ni kubwa
Apo bado kuna majengo ambayo yanamalizika uko nairobi hakuna
MNF ×2 30fl
MZIZIMA 35 33
PPF HQ 35
Apo sjui mnasemaje
Above 30 mna majengo matatu tu
Ambayo ni TELESPOTA, UAP na BRITAM
Akat tanzania kuna majengo5 above30,
Af dsm ina majengo mengi compared to NAI haijalishi above 7 but ndo hvyo
Ukielekea upande wa building density ndo usiseme
Na DSM majengo marefu hayako sehem moja
Nimefika sana Nairobi
Kiukwel mji wenu umejipanga ila kwa majengo DSM ni habar nyingine
ujinga umewajaa kichwani...no wonder jana mmeshambuliwa na nyuki mitaa ya CBD.tuko na remote....shut up.We control your poor country from Nairobi. ...Hahaha
What exactly is Kenya controlling ?Hapa picha tu......we are used to "nimefika Nairobi " crew by osmosis
labda biashara ya miraa...kwa hilo hawana mpinzani duniani.[emoji23]What exactly is Kenya controlling ?
same buildings as photographed from different angles...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Random
ndio maana nyuki hawakosekani CBD,mnaishi karibu na mbuga ya wanyama.[emoji23] [emoji23] [emoji23]