Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijawahi kuona rais aliechokwa kwa muda mfupi na wananchi kama huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ angalia interactions za tweet yake ilivyo finyu, huyu hata akitembea kwa mguu kariakoo hakuna ataejali

View attachment 2344746
Haters wa Samia mnahangaika Sana,Endelea kusubiria atembee Kariakoo..

Porojo na kujilisha upepo Wala havitabadikisha ukweli kwamba ndio Rais hadi 2030..

Kazi inaendelea πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-201618.png
    162.7 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220903-201709.png
    44.1 KB · Views: 23
Kazi nzuri Sana ya tozo hii hapa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220903-202405.png
    92.4 KB · Views: 24
  • Screenshot_20220903-202308.png
    108.5 KB · Views: 24
  • 20220903_202321.jpg
    81.9 KB · Views: 25
  • 20220903_202312.jpg
    101.9 KB · Views: 26
  • 20220903_202411.jpg
    100.9 KB · Views: 23
  • 20220903_202409.jpg
    84.1 KB · Views: 26
  • 20220903_202416.jpg
    78.6 KB · Views: 24
Hii miji ya CHINA classy yake ni out of this world, kuanzia usafi, green and every single aspect.. This is Xia'n CityπŸ‘‡ . Wala wengi wetu hatujui kama kuna mji China ni unaitwa Xia'n.. Teargas pitia hii mzee
 
Hii miji ya CHINA classy yake ni out of this world, kuanzia usafi, green and every single aspect.. This is Xia'n City[emoji116] . Wala wengi wetu hatujui kama kuna mji China ni unaitwa Xia'n.. Teargas pitia hii mzee
Huo mji ni wakisasa sana lakini swali la msingi Je unafursa gani kwa wageni?unaweza pata kibali cha kazi huko?tofauti na miji ya Western ni fursa kwa yoyote anaepambana..know the difference
 
naona unafanya repeating decimal we jifurahishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…