hahaha 😀😀😀😀😀😀😀 Juzi nimegundua mpaka hata tukijumlisha mashimo mnayofukua sasa hivi (Pinnacle na Montave na at least yaliyonyayuka ( avic) bado tumewazidi kwenye high rises at least buildings over 30+ floor. Je tukitoa hayo mashimo (4 towers) ambayo ni montave 1& 2 pinnacle ya 70 na 45. mnakuta manatembelea kichwa. halafu mna audicity kuongea ovyo ovyo. huwa nawashangaa kweli. Haina haja ya kutumia nguvu nyingi kusema wewe ni noma au upo juu, kama upo juu upo juu tu, lakini ukiona unasema upo juu na watu wanakubishia ujue bado unatembelea kichwaGorofa zinahesabika na vile huwa mnapiga kelele hapa
Mnapenda kujifariji sana...majengo yote mnajisifia yako hapo.hamna loloteUnafikili hio ndo eneo lote la dsm?
Hapo ni kipande tu. Ambacho pia nairobi yote inakaa
😀😀😀😀😀😀😀😀Siamini kumbe nawewe unatokwa na povu rudia tena????Hata nusu ya manjengo Dar haiezi fikia ya Nairobi
wacha kujiaibisha hapa wewe....nenda kule skyscrapercity kwa highrise buildings in africa utapata idadi kamili ya kila city..mnajipigia debe wenyewe ila huko nje sivyo mambo yalivyoThat
hahaha 😀😀😀😀😀😀😀 Juzi nimegundua mpaka hata tukijumlisha mashimo mnayofukua sasa hivi (Pinnacle na Montave na at least yaliyonyayuka ( avic) bado tumewazidi kwenye high rises at least buildings over 30+ floor. Je tukitoa hayo mashimo (4 towers) ambayo ni montave 1& 2 pinnacle ya 70 na 45. mnakuta manatembelea kichwa. halafu mna audicity kuongea ovyo ovyo. huwa nawashangaa kweli. Haina haja ya kutumia nguvu nyingi kusema wewe ni noma au upo juu, kama upo juu upo juu tu, lakini ukiona unasema upo juu na watu wanakubishia ujue bado unatembelea kichwa
Pinaccle na montave bado ni renders waambie wakuoneshe wapi kunajengwa utacheka sana😀😀That
hahaha 😀😀😀😀😀😀😀 Juzi nimegundua mpaka hata tukijumlisha mashimo mnayofukua sasa hivi (Pinnacle na Montave na at least yaliyonyayuka ( avic) bado tumewazidi kwenye high rises at least buildings over 30+ floor. Je tukitoa hayo mashimo (4 towers) ambayo ni montave 1& 2 pinnacle ya 70 na 45. mnakuta manatembelea kichwa. halafu mna audicity kuongea ovyo ovyo. huwa nawashangaa kweli. Haina haja ya kutumia nguvu nyingi kusema wewe ni noma au upo juu, kama upo juu upo juu tu, lakini ukiona unasema upo juu na watu wanakubishia ujue bado unatembelea kichwa
Hebu taja moja baada ya moja tuone maana tusije tukapoteza muda kumbe una maji kichwani😀😀Mnapenda kujifariji sana...majengo yote mnajisifia yako hapo.hamna lolote
Ukigusa hapo watakumbia wote humu😀unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
nadhani unayaona pia....dar ni hio. wacheni mbwembwe nyingi za bureHebu taja moja baada ya moja tuone maana tusije tukapoteza muda kumbe una maji kichwani😀😀
Niletee idadi ya highrises za Nairobi over 30 Floors kwanza, kule skyscapercity napajua sana maana wanainclude na za 20+Floors na uwe unasoma kwanza nilichoandika sio kukimbilia eti najiaibisha ,nimesema Over 30 Floor Buildings whether completed or Underconstruction mnatembelea kichwa kwa Dar. Period.wacha kujiaibisha hapa wewe....nenda kule skyscrapercity kwa highrise buildings in africa utapata idadi kamili ya kila city..mnajipigia debe wenyewe ila huko nje sivyo mambo yalivyo
Na over 40 mnamangapi???...hahahahahaaaThat
hahaha 😀😀😀😀😀😀😀 Juzi nimegundua mpaka hata tukijumlisha mashimo mnayofukua sasa hivi (Pinnacle na Montave na at least yaliyonyayuka ( avic) bado tumewazidi kwenye high rises at least buildings over 30+ floor. Je tukitoa hayo mashimo (4 towers) ambayo ni montave 1& 2 pinnacle ya 70 na 45. mnakuta manatembelea kichwa. halafu mna audicity kuongea ovyo ovyo. huwa nawashangaa kweli. Haina haja ya kutumia nguvu nyingi kusema wewe ni noma au upo juu, kama upo juu upo juu tu, lakini ukiona unasema upo juu na watu wanakubishia ujue bado unatembelea kichwa
heheee...so umeeka ya 30 ujifariji kwa sababu unajua yetu mengi ndio yako kwa excavation.still tukileta yale yashaanza kujengwa tunakula sahani moja tu.my friend,your boom ilishaisha mkuu hamna jipya tena huko cz gap tumewapa ni kubwa excessNiletee idadi ya highrises za Nairobi over 30 Floors kwanza, kule skyscapercity napajua sana maana wanainclude na za 20+Floors na uwe unasoma kwanza nilichoandika sio kukimbilia eti najiaibisha ,nimesema Over 30 Floor Buildings whether completed or Underconstruction mnatembelea kichwa kwa Dar. Period.
wanaona ila wanapitia mbali....hata ujasiri wa ku-quote wanakosa.[emoji23] [emoji23]nadhani unayaona pia....dar ni hio. wacheni mbwembwe nyingi za bure
Yaani hata hayo yaliyo kwenye excavation nimeyainclude hayafikii ya Dar. hamna cha gap. sasa sijui kwanini usiyaweke hapa ili tusionekane tunaongea tu bila evidence.heheee...so umeeka ya 30 ujifariji kwa sababu unajua yetu mengi ndio yako kwa excavation.still tukileta yale yashaanza kujengwa tunakula sahani moja tu.my friend,your boom ilishaisha mkuu hamna jipya tena huko cz gap tumewapa ni kubwa excess
Tunalo moja nyie mnayo mangapi? kwa sasa hivi, au mpaka msubiri miaka mitatu 😀Na over 40 mnamangapi???...hahahahahaaa
waongea nini tena mkuuwanaona ila wanapitia mbali....hata ujasiri wa ku-quote wanakosa.[emoji23] [emoji23]
are you serious dude???Yaani hata hayo yaliyo kwenye excavation nimeyainclude hayafikii ya Dar. hamna cha gap. sasa sijui kwanini usiyaweke hapa ili tusionekane tunaongea tu bila evidence.
naongelea kuhusu[emoji116] [emoji116] [emoji116] mkuu.waongea nini tena mkuu
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
Why dont you put 30+ Floor highrises in Nairobi here na sisi tuweke ya Dar, au mnabisha bila kuhakikisha kwanza 😀are you serious dude???
wakiweka nitag comrade.Why dont you put 30+ Floor highrises in Nairobi here na sisi tuweke ya Dar, au mnabisha bila kuhakikisha kwanza 😀